Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kwa hiyo aliyekua anayafanya hayo ni Babu Seyer, sasa Papii alifikaje kwenye hiyo kesi??

Na hapo kwenye maelezo japo kiingereza kibovu sana (kilikuja kwa meli sio shida lol) hao watoto waliingiliwa zaidi ya mara moja sasa je waliwezaje kuhimili hayo maumivu bila wazazi wao kujua??
Mkuu soma vizur utaona kuna sehemu imeeleza kabla ya tukio walipakwa mafuta
 
Watu si wamesha futiwa na kusamehewa!!! Mafile ya nini sasa
 
Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
Hakuna cha ukakasi ni kweli walifanya
 
Mwaka 2015 Lowassa alivyosema angemtoa Babu Seya gerezani kwa kufuata sheria, vijana wa Lumumba WALIMSHAMBULIA sana.

Mwaka 2017 Mh Rais Magufuli amemtoa Babu Seya gerezani nimeona baadhi ya vijana wa Lumumba wameanza KUSHANGILIA.

Pale Kisutu kuna mtoto mmoja wakati anatoa ushahidi akaambiwa akamuonyeshe kwa kumshika babu Seya akaenda akamshika wakili Tena akafanywa hivyo 3 times! Kesi ilikuwa magumashi na Rais katumia mamlaka kuwaachia ! Ambaye hataki akiwemo Zitto akate rufaa! Hatutaki makelele hapa

Kuna vitu nawaza Kijinga! Hivi ni kweli hawa walioachiwa walistahili msamaha huu? Na kama ni kweli walitenda (makosa)Leo hii wazazi wa watoto wale wanajisikiaje! Na vipi kwa wafungwa wengine waliosingiziwa huku mikoani? Na walishahukumiwa maisha!

Kabisa ninajua na wale mashehe ni wakati sasa wa wao kuwa huru

Kama ningekuwa na uwezo hii kesi ingechunguzwa ili ijulikane kama babu seya alionewa au alistahili kufungwa. Ila ndio hivyo samaki ndani ya maji siku zinaenda

Hii nchi ukitaka kuishi kwa amani basi usiwe na internet na akili timamu.

mr mkiki.
ikichunguzwa utafanya nini? yeye amethibitishwa kutenda kosa hadi alipofika review court of appeal, hakuna kwenda juu tena. unahitaji uthibitisho gani mwingine. tunamwachia Mungu, kwanza kwasababu watoto hawakufa, Mungu amsamehe na wasadie hao watoto wasiwe na matendo ya sodoma na gomora tu. kutenda kosa ni kosa ila kurudia kosa. Mungu anasamehe dhambi zote, isipokuwa moja tu ya kumkufuru Roho Mtakatifu.
 
me nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015
Utabiri umetimia
 
Ahsante sana Kiongozi., sijaelewa ukakasi wa hili swala unatokea wapi ikiwa Marando ni miongoni mwa Mawakili wazuri na wazoefu!
Na ukumbuke marando ni nani katika nchi hii
Ukiondoa uwakili wake
 
usalama wa taifa ndio bashite au?
[emoji12] [emoji3] [emoji2] [emoji1] Lol!Ndio yeye pamoja na crew yake,kudodosa habari hakuhitaji akili nyingi.Mahakimu pamoja na rejea wanazo tumia huwa wanaboronga maamuzi kila leo.
 
Kesi za namna hii huwa znatokea na watu hutumikia vifungo vyao bila tabu...lkn mbn kwa kesi ya hawa watu imekuwa na ukakasi saaana, ww huwezi kujiuliza kulikoni!?
Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...

Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...

Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...

Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..

Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.

Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
 
[emoji12] [emoji3] [emoji2] [emoji1] Lol!Ndio yeye pamoja na crew yake,kudodosa habari hakuhitaji akili nyingi.Mahakimu pamoja na rejea wanazo tumia huwa wanaboronga maamuzi kila leo.
mahakimu gani unaongelea? wa primary court wale hata huwa hatuwaiti wanasheria, kwasababu kwanza hawatumii sheria kuamua, wanatumia kajedwali fulani mule kwenye CPA. hawajui kiingereza, hawajui sheria kabisa. ni kama fresher tu aliyetoka university leo. wale wa subordinate wengi wana viingereza vibaya....na wengine akili ndogo na wanakosea procedure. lakini chochote watakachofanya ukiona kimepita high court, kikaenda court of appeal na review juu, hakika hicho huwa ni perfect mtu amefanya.
 
Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...

Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...

Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...

Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..

Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.

Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
double standards.
 
Back
Top Bottom