Mwaka 2015 Lowassa alivyosema angemtoa Babu Seya gerezani kwa kufuata sheria, vijana wa Lumumba WALIMSHAMBULIA sana.
Mwaka 2017 Mh Rais Magufuli amemtoa Babu Seya gerezani nimeona baadhi ya vijana wa Lumumba wameanza KUSHANGILIA.
Pale Kisutu kuna mtoto mmoja wakati anatoa ushahidi akaambiwa akamuonyeshe kwa kumshika babu Seya akaenda akamshika wakili Tena akafanywa hivyo 3 times! Kesi ilikuwa magumashi na Rais katumia mamlaka kuwaachia ! Ambaye hataki akiwemo Zitto akate rufaa! Hatutaki makelele hapa
Kuna vitu nawaza
Kijinga! Hivi ni kweli hawa walioachiwa walistahili msamaha huu? Na kama ni kweli walitenda (makosa)Leo hii wazazi wa watoto wale wanajisikiaje! Na vipi kwa wafungwa wengine waliosingiziwa huku mikoani? Na walishahukumiwa maisha!
Kabisa ninajua na wale mashehe ni wakati sasa wa wao kuwa huru
Kama ningekuwa na uwezo hii kesi ingechunguzwa ili ijulikane kama babu seya alionewa au alistahili kufungwa. Ila ndio hivyo samaki ndani ya maji siku zinaenda
Hii nchi ukitaka kuishi kwa amani basi usiwe na internet na akili timamu.
mr mkiki.