Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

There is a need of re-opening this case on JamiiForum's Intelligence Forum. Home of GT.
 
Kesi ulienda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ikaenda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ilienda hadi mahakama ya afrika waliomba
Review ya Kesi hii wakaonekana wana makosa
Sasa kama mimi bado sielewi elewi

Ova
 
Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
Naona hapa ilikuwa ni ushahidi wa hao watoto dhidi ya ushahidi wa washitakiwa. Sijui ni kwanini lakini sikuwahi kuamini ushahidi wa hawa watoto. Hata hivyo siuoni usahihi wa kuwaacha huru kama mahakama ilishawatia hatiani. Kama kesi ingekuwa yabkubambikizwa wangeshinda kwenye appeal; hata wakili wao ameshangaa japo amefurahia pia.

Dada mmoja, hapo zamani za kale aliwahi kuniamvia kuwa yeye alikuwa mwalimu katika shule waliokuwa wakisoma watoto hao na anachokumbuka ni maneno ya hao watoto mahakamani na alipata shida kuwaamini ila ilibidi wakubali matokeo.

Kama ni kweli babu na kijana wake waliwafanya hao watoto vitu vibaya laana itawafuata. Kama hao mabinti walifindishwa kusema uongo ili hatimaye babu na vijana wake waonewe wao pia na wote walioshiriki kutengeneza zengwe hilo watakutana na ghadhabu ya Mungu.

Kama JPJM Amewaachia wabakaji kwa sababu za kisiasa laana zitaambatana naye pia.

Kamwe, ukweli haujawahi kuwa na maficho ya kudumu. Siku zote katika historia 'wakati' umekuwa adui wa kudumu wa uongo.

Time will tell!
 
Kama ingekua ni kweli,hao watoto wasingeweza hata kutembea siku hiyo hiyo,wangejulikana tu wameliwa
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
....Sijui mwanzoni but kwenye rufaa alikuwepo wakili Marando, na aliwezesha wawili kati yao kuachiwa huru. Mwanzoni walifungwa wanne...
 
Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...

Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...

Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...

Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..

Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.

Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
Ni kweli mkuu..

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
mahakimu gani unaongelea? wa primary court wale hata huwa hatuwaiti wanasheria, kwasababu kwanza hawatumii sheria kuamua, wanatumia kajedwali fulani mule kwenye CPA. hawajui kiingereza, hawajui sheria kabisa. ni kama fresher tu aliyetoka university leo. wale wa subordinate wengi wana viingereza vibaya....na wengine akili ndogo na wanakosea procedure. lakini chochote watakachofanya ukiona kimepita high court, kikaenda court of appeal na review juu, hakika hicho huwa ni perfect mtu amefanya.
Usinifanye nicheke,siongelei nadharia hapa.Nenda magerezani uone uozo uliofanywa na high court pamoja na supreme court(court of appeal).
 
have you ever been a prosecutor dadangu? nisijekuwa naongea na mtu aliyesoma sociology.
Wewe ni upuuzi kama mpuuzi mwingine,do you have a proof of having been a prosecutor? Mimi ni DPP mstaafu,,,,what do you want to say.Mimi ni dume na ninapiga sisi tano kwa siku wiki nzima angalia iishe kujuta.
 
hahaha, ndio raha ya kuwa na first year kwenye hii mijadala. ndugu, ukienda kwenye mtihani wako huko chuo, elewa kuwa res judicata upo tu kwenye civil, kwenye criminal haipo. kesi ya babu seya ni criminal....hapo ulitakiwa uwe umefundishwa na mwalimu wako kitu inaitwa "Autrefois convict" jaribu kuperuzi hayo madesa yenu utaelewa maana yake. nenda section 280(1) CPA utakuta kitu kinaitwa Plea of autrefois acquit and autrefois convict. piga shule dogo.
Kwa hiyo kesi ya babu Seya inaweza kurudi kwenye litigation? Tuanze hapo.
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Watu wakimpenda mtu huwaambii kitu, uovu walifanya kwa walio karibu waathirika hawana shaka na hilo, ila sema kwa hali ya nchi yetu kwa uwezo na umaarufu wao bila fitina wasingefungwa! Wanasheria wao ni wazoefu sana wasingeshindwa na ushahidi wa kutungwa kwa watoto wa miaka 9!!!
 
Back
Top Bottom