The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
Hiyo taarifa ndo iliyowaweka ndani.Ulitakiwa utoe taarifako kabla hawajatolewa kuitoa wakiwa out ni ukosefu wa kazi ya kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo taarifa ndo iliyowaweka ndani.Ulitakiwa utoe taarifako kabla hawajatolewa kuitoa wakiwa out ni ukosefu wa kazi ya kufanya
Huko lazm watumie,princess ,cuttie ,precious n.k huez wapataHayo Majina ya watoto nitayafuatilia Facebook na Instagram
Naona hapa ilikuwa ni ushahidi wa hao watoto dhidi ya ushahidi wa washitakiwa. Sijui ni kwanini lakini sikuwahi kuamini ushahidi wa hawa watoto. Hata hivyo siuoni usahihi wa kuwaacha huru kama mahakama ilishawatia hatiani. Kama kesi ingekuwa yabkubambikizwa wangeshinda kwenye appeal; hata wakili wao ameshangaa japo amefurahia pia.Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
....Sijui mwanzoni but kwenye rufaa alikuwepo wakili Marando, na aliwezesha wawili kati yao kuachiwa huru. Mwanzoni walifungwa wanne...Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Ni kweli mkuu..Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...
Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...
Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...
Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..
Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.
Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
Usinifanye nicheke,siongelei nadharia hapa.Nenda magerezani uone uozo uliofanywa na high court pamoja na supreme court(court of appeal).mahakimu gani unaongelea? wa primary court wale hata huwa hatuwaiti wanasheria, kwasababu kwanza hawatumii sheria kuamua, wanatumia kajedwali fulani mule kwenye CPA. hawajui kiingereza, hawajui sheria kabisa. ni kama fresher tu aliyetoka university leo. wale wa subordinate wengi wana viingereza vibaya....na wengine akili ndogo na wanakosea procedure. lakini chochote watakachofanya ukiona kimepita high court, kikaenda court of appeal na review juu, hakika hicho huwa ni perfect mtu amefanya.
Wewe ni upuuzi kama mpuuzi mwingine,do you have a proof of having been a prosecutor? Mimi ni DPP mstaafu,,,,what do you want to say.Mimi ni dume na ninapiga sisi tano kwa siku wiki nzima angalia iishe kujuta.have you ever been a prosecutor dadangu? nisijekuwa naongea na mtu aliyesoma sociology.
Kwa hiyo kesi ya babu Seya inaweza kurudi kwenye litigation? Tuanze hapo.hahaha, ndio raha ya kuwa na first year kwenye hii mijadala. ndugu, ukienda kwenye mtihani wako huko chuo, elewa kuwa res judicata upo tu kwenye civil, kwenye criminal haipo. kesi ya babu seya ni criminal....hapo ulitakiwa uwe umefundishwa na mwalimu wako kitu inaitwa "Autrefois convict" jaribu kuperuzi hayo madesa yenu utaelewa maana yake. nenda section 280(1) CPA utakuta kitu kinaitwa Plea of autrefois acquit and autrefois convict. piga shule dogo.
Uliwaona wakifanya?Hakuna cha ukakasi ni kweli walifanya
Watu wakimpenda mtu huwaambii kitu, uovu walifanya kwa walio karibu waathirika hawana shaka na hilo, ila sema kwa hali ya nchi yetu kwa uwezo na umaarufu wao bila fitina wasingefungwa! Wanasheria wao ni wazoefu sana wasingeshindwa na ushahidi wa kutungwa kwa watoto wa miaka 9!!!Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?