whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Dawa ni moja tu, iwapo akitaka kubaki salama sharti aje madhabahuni kwa ajili ya TOBA. Hakuna dhambi isiosameheka!!! Mungu huwa anasamehe dhambi/uovu wa wanadamu. Akishatubu kwa Mungu aanze kumtumikia Mungu katika maisha yake yote.!
Tofauti na hivyo, ataomba kurudishwa kule gerezani alikokuwa.
JESUS IS LORD !
We sikutukani sababu haukawii kudai haki zenu za mashoga kuwa mtambulike, ila jiandae kwenda kupambana na mamba ukiwa mwenyewe,,stupid mama yako. Kwa nini umemtukana
Umeona ee! Uchunguzi wa kitabibu ulionesha sehemu ya mbele madogo walikuwa bado na bikra zao na nyuma palikuwa hapajabuguziwa.Sasa mbna hymen and anus evidence ina claim was intact
Mwalimu aliyekuwa anawapeleka hakukutwa na hatia. Unaelewa?Babu sea kama ni kwl alifanya hyo baasi laana itamtafuna mpaka atakopokufa kuwa huru kwake huenda ikawa adhabu kubwa sana
Dought =DoubtBasi wamesamehewa tuwape benefit of dought ingawa Mahakama iliwatia hatiani
kama ungekuwa ulishawahi kufanya kazi mahakamani, na kidogo ukawa karibu na magerezani etc utakuja kuelewa kuwa kati ya watu 100 wanaosemekana wamebambikwa kesi, na specifically kwa kesi kama hii iliyoanzia subordinate, ikaenda high court, ikaenda court of appeal, na ikarudi tena court of appeal for review na kote watu wenye akili zao wakasema Nooooo, utaelewa kuwa sio rahisi kubambikwa kesi kihivyo.Kesi za namna hii huwa znatokea na watu hutumikia vifungo vyao bila tabu...lkn mbn kwa kesi ya hawa watu imekuwa na ukakasi saaana, ww huwezi kujiuliza kulikoni!?
have you ever been a prosecutor dadangu? nisijekuwa naongea na mtu aliyesoma sociology.Huu siyo utetezi,ni argument ya layman
hahaha, ndio raha ya kuwa na first year kwenye hii mijadala. ndugu, ukienda kwenye mtihani wako huko chuo, elewa kuwa res judicata upo tu kwenye civil, kwenye criminal haipo. kesi ya babu seya ni criminal....hapo ulitakiwa uwe umefundishwa na mwalimu wako kitu inaitwa "Autrefois convict" jaribu kuperuzi hayo madesa yenu utaelewa maana yake. nenda section 280(1) CPA utakuta kitu kinaitwa Plea of autrefois acquit and autrefois convict. piga shule dogo.Mimi nilimjibu Yule aliyesema watarudishwa tena na DPP ndo nikasome kazi ya DPP ilishaisha .Hili swala hali wezi kurudi tena kwenye litigation kwa sababu ya kanuni ya res judicata.
2+2=4 inamaana gani Unapo statement ya alifika huko baada yaku toa ushahidi ¡! HATARI!!!!2010 mmoja wa vibinti hivyo nilimuona Mt. Vernon,NY nikiambiwa baadae kuwa alifika huko baada ya kuwa sehemu ya mashahidi na kutenda vyema!!!
usalama wa taifa ndio bashite au?Utawala wa awamu hii unafanya kazi zaidi kwa kutumia idara ya Usalama wa Taifa, na inaashiria taarifa walizompa(ukiachilia proceedings za kimahakama ambazo huwa zina ukakasi sana no wonder tuna wafungwa wengi ambao walishitakiwa pamoja[jointly accused] lakini hawajuani na walionana kwa mara ya kwanza baada ya kuwa kwenye kesi moja) ni kuwa jamaa kesi yao haikuwa na ukweli.Siamini kama mzazi mtu anaweza kuwaachia watu wenye kesi kama yao.Hiyo njia ni ya mkato sana japo hata hiyo hao jamaa wanaweza wakalishwa matango pori wakampoteza kiranja wao.Kesi inatia mashaka sana kwakuwa walikamata familia nzima na Papii hajatajwa kwenye huo ushaidi,ilikuwaje akapatikana na hatia?
Marando ndie alikuwa.wakili wao, ndio maana nikasema labda atakuja kusimulia alichokigundua katika kesi hii.Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Case ilisikilizwa mwaka gani?Case closed.