Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

huo ni msamiati mpya?

Asante kwa kuuliza. Kwa kweli Kiswahili wanachoandika watu kadhaa kwenye huu mtandao kinakwaruza sana hasa wanapoacha kuweka "h"au kuingiza "h" pasipotakiwa:

akika badala ya hakika
amna badala ya hamna
hacha badala ya acha

n.k.
 
Watu wansema, wakongo man wanatabia chafu sana, hata hilo la Babu Seya na wanaye, inawezekana kuwa kweli kabisa!
 
Asante kwa kuuliza. Kwa kweli Kiswahili wanachoandika watu kadhaa kwenye huu mtandao kinakwaruza sana hasa wanapoacha kuweka "h"au kuingiza "h" pasipotakiwa:

akika badala ya hakika
amna badala ya hamna
hacha badala ya acha

n.k.

Hawa mara nyingi huwa ni watu kutoka katika mkoa mmoja uliopo magharibi mwa Ziwa Victoria.
 
Chakujiuliza kwanini watoto wale wawili wameachiwa kwa kigezo kipi!? Na waliukumiwa kwa kigezo kipi!? Je babu seya alikuwa hana housegirl au houseboy? Kwa nini hawakuojiwa wala mkewe ambaye alikuwa anayaona hayo maovu na kuyafumbia macho. Kwa hili mahakama itakuwa haija tenda haki, nahao watoto kwani walibakwa siku moja wote? Inauma sana ila Mungu atampa mwongozo rais anaye kuja atamtoa bila vigezo vyovyote vile.
 
mambo ya babu seya,serikali iawezi kuepuka lawama

Tulipofikia sidhani kama kuna haja yakusumbua watu, hebu waacheni kila mtu afe nalwake. Hivi ushoga unaruhusiwa tena kisheria halafu muwakataze wakina Dada kukutana na wanaume????? Mnatakaje sasa nyie polisi mbona hatuwasomi????

Hayo ndiyo maisha bora yaliyoahidiwa na Chama Chakavu cha CCM, ukichagua chama cha kipumbafu hata maisha yatakuwa ya kipumbafupumbaffu






Kidumu chama chetu
 
Miaka kama saba iliyopita, Mchungaji mmoja Mtu wa makamu, alinisimulia Mkasa wa "Majambazi" waliokuja nyumbani kwake kutaka kumuua maeneo ya Kinondoni. Lakini Kimiujiza "Majambazi" hawa wakashikwa na Usingizi wakakutwa asubuhi na Majirani, "Kumbe hawakuwa Majambazi" bali wale watu wa kazi ambao Wamarekani wanawaita Pigs na Tanzania tunawaita "Mbwa"

Kisa cha Kutaka Kumtoa Roho Baba wa watu, Ilikuwa Binti mmoja Mrembo aliyekuwa na Uhusiano na Ndugu wa Kuzaliwa wa Mheshimiwa saaaana, aliamua kuachana na Maisha hayo. Na kwa sababu ya Vitisho akahamia kwa Familia ya huyu Mchungaji. Sasa mchungaji huyu akawa anapokea Vitisho kuwa ati yeye ndiye aliyemchukulia huyu Bwana mwanamke wake na akaambiwa ataonyeshwa ya Mtema kuni. Baada ya Vitisho kutosaidia ndio hiyo siku ya tukio wakatumwa hao, "Majambazi"

Sasa Nimesikia Kuwa Issue ya Babu Seya na Kina Mramba na Yona, Ni Visasi vya Kiaina hiyo Je Ni kweli?

Pia Nikasikia Kwa wale waliopendwa wakipatikana na matatizo Basi walikuwa wanakufa Kisanii na maiti zao hewa kuzikwa Kisanii under the smoke screen of secrecy!
 
Babu seya mwenyewe ndo anajua ukweli. Wale watoto sijui kama wanakumbuka nini kilitokea (maana walikuwa wadogo, pengine kuweza kukumbuka). Sasa ili uweze kujua ukweli huu, njia pekee ni wewe kujifanya padri, kasalishe segerea babu seya akija kuungama dhambi utajua kama aliwafira watoto au hapana.
 
Mambo mengine ni yakuachwa tu..tusizoze saana!
Tutahangaika tu!
 
Seya uko wapiii, seya tutoke woteee...
Ukijumlisha na ile ngoma ya mpenzi salima unawezajua pa kuanzia. Nimewaza kwa sauti tu.
 
Ndugu tuonee huruma! Japo ukweli lazima usemwe, wengi tuna familia. Hivyo hapa hadharani hutojua ukweli zama hizi. Jifunze kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom