Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Mnaojua Biashara ya sheria, kwa kesi kama hii, kumlipa mtu kama Kibatala, DSM hapa, inaweza kuwa TSHs ngapi?
 
ukisoma maelezo ya seth kanumba na yule dr ,utaona kabisa kuwa Lulu kuna kosa la ki ufundi alilifanya,ila tusubiri tuone
Tukitaka kutenda haki kwa hakika marehemu Kanumba afukuliwe aje kujibu tuhuma za ubakaji.

Ikumbukwe Kanumba alikuwa akimbaka Lulu akiwa bado under 18, msione wanaharakati wapo kimya basi mkaona ubakaji unakubalika.
 
Ndie aliyeshawishi lulu ajiunge kaole,naona nafsi inamsunta kumpeleka lulu kwenye umaarufu akiwa mdogo
Cheni alimpeleka Lulu kwenye usanii na siyo umaarufu, umaarufu unajitengenea mwenyewe.
 
Mnaojua Biashara ya sheria, kwa kesi kama hii, kumlipa mtu kama Kibatala, DSM hapa, inaweza kuwa TSHs ngapi?
Kibatala anatowa msaada wa Kisheria bure, mawakili kuna kesi dhaifu zenye public interest ujitolea kuwatetea bure watuhumiwa ili kuboost cv zao.

Hii ni moja ya kesi dhaifu kabisa za mauwaji, kinachoipa nguvu kesi hii ni public interest tu hakuna kingine, ni sawa kutalajia Wema Sepetu afungwe kwa kubambikiwa vipisi vya bangi hizi ni akili za kinjinga, hayo yanaweza tu kutokea kwenye Kangaroo court.

Kwenye kesi zote za mauwaji majaji wako radhi kumuachia huru muuwaji kwa kukosekana ushahidi wa kutosha kuliko kumuhukumu mtu innocent.
 
Ahsante kwa maarifa.
 
Neno Kenge limeharibu maana yote ya post yako. Rudia tena kuandika!
 
Tukitaka kutenda haki kwa hakika marehemu Kanumba afukuliwe aje kujibu tuhuma za ubakaji.

Ikumbukwe Kanumba alikuwa akimbaka Lulu akiwa bado under 18, msione wanaharakati wapo kimya basi mkaona ubakaji unakubalika.
inawezekana uko sahihi,ila kesi iliyooko mbele ni ya mauaji,usishangae akiambiwa kaaua bila kukusudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…