Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukitaka kutenda haki kwa hakika marehemu Kanumba afukuliwe aje kujibu tuhuma za ubakaji.ukisoma maelezo ya seth kanumba na yule dr ,utaona kabisa kuwa Lulu kuna kosa la ki ufundi alilifanya,ila tusubiri tuone
Cheni alimpeleka Lulu kwenye usanii na siyo umaarufu, umaarufu unajitengenea mwenyewe.Ndie aliyeshawishi lulu ajiunge kaole,naona nafsi inamsunta kumpeleka lulu kwenye umaarufu akiwa mdogo
Kibatala anatowa msaada wa Kisheria bure, mawakili kuna kesi dhaifu zenye public interest ujitolea kuwatetea bure watuhumiwa ili kuboost cv zao.Mnaojua Biashara ya sheria, kwa kesi kama hii, kumlipa mtu kama Kibatala, DSM hapa, inaweza kuwa TSHs ngapi?
Ahsante kwa maarifa.Kibatala anatowa msaada wa Kisheria bure, mawakili kuna kesi dhaifu zenye public interest ujitolea kuwatetea bure watuhumiwa ili kuboost cv zao.
Hii ni moja ya kesi dhaifu kabisa za mauwaji, kinachoipa nguvu kesi hii ni public interest tu hakuna kingine, ni sawa kutalajia Wema Sepetu afungwe kwa kubambikiwa vipisi vya bangi hizi ni akili za kinjinga, hayo yanaweza tu kutokea kwenye Kangaroo court.
Kwenye kesi zote za mauwaji majaji wako radhi kumuachia huru muuwaji kwa kukosekana ushahidi wa kutosha kuliko kumuhukumu mtu innocent.
Neno Kenge limeharibu maana yote ya post yako. Rudia tena kuandika!Aliyekudanganya Kibatala analipwa na Lulu ni nani?
Kenge wewe, Lulu asingetetewa na Kibatara serikali ingempa wakili wavserikali bure kumtetea kwa gharama za kodi yako.
Kama wewe ni mbumbumbu kuanzia leo kaa ukijuwa kesi za mauwaji watuhumiwa kama hawana mawakili wa kuwatetea serikali inawapa mawakili bure mbumbumbu wewe tena kwa kutumia kodi zetu.
Ni kweli mkuu..haki itendekehuo ndio utu mkuu..kuna watu wamekaa kutega sikio wasikie lulu kapigwa miaka mingap..inashangaza sana mtu kushabikia matatizo ya mwenzie.
Halijaharibu ni sahihi kabisa kulitumia hilo neno kwa mtu kama mtoa komentiNeno Kenge limeharibu maana yote ya post yako. Rudia tena kuandika!
inawezekana uko sahihi,ila kesi iliyooko mbele ni ya mauaji,usishangae akiambiwa kaaua bila kukusudiaTukitaka kutenda haki kwa hakika marehemu Kanumba afukuliwe aje kujibu tuhuma za ubakaji.
Ikumbukwe Kanumba alikuwa akimbaka Lulu akiwa bado under 18, msione wanaharakati wapo kimya basi mkaona ubakaji unakubalika.