Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Anhaa 👍🏽Hawamiliki content ndiomana hata Google anarecommend pia duckduckgo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaa 👍🏽Hawamiliki content ndiomana hata Google anarecommend pia duckduckgo
N wajinga tuu ndio hawatokuelewa.Hio inawezekana tu kama huyo mwengine anai value ligi kama main broadcaster, Azam ameivalue kwa Bilioni 200, kama mtu anataka Asilimia 10 ama 20 za Mechi basi atatakiwa kutoa asilimia 10 ama 20 za hicho kiasi, it's that simple.
Africa Kusini mwa jangwa la Sahara yupo Multichoice (dstv) yeye ndio ananunua hali za EPL na Uefa, wakaja G sport wakabid kama yeye haki zikagawanywa, G sport wakafilisika sasa hivi 100% ni Dstv.
So hakuna mtu anaezuia mtu mwengine kuonesha ligi ya Tanzania kama wapo tayari kuithamini ligi yetu na kutoa pesa nyingi.
Tukumbushane tu walipa haki za TV waliopita
-miaka ya 2009 walikuwa ni hao GTV (G Sport) walilipa milioni 300
-walipofilisika Star tv aka chukua ligi ikamshinda
-Alipotoka star tv Dstv akaichukua, akawa anaonesha mechi kubwa tu naye akaicha kwa kejeli kwamba ligi ya Tanzania hailipi bora kenya na Uganda
-Azam akaichukua Deal la kwanza lilikuwa Bilioni 5 na amekuja ame renew kwa dola $100M karibia Bilioni 280
Hilo ni deal la 3 kwa ukubwa Africa tumepitwa na South na Nigeria tu, nchi zilizobakia zote tumezipita.
Kama kuna mtu kweli anaona Azam anafaidi Atoe Bilioni 300 ama 400 anunue ligi, otherwise ni ujinga ku entertain upinzani na watu wa sio na uwezo.
Source
![]()
MZEE WA UPUPU: KWA MKATABA HUU, BAKHRESA HUNA BAYA
Azam TV imesaini mkataba wa miaka 10 kuonyesha Ligi Kuu Bara baada ya kushinda zabuni iliyotangazwa Aprili, mwaka huu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Kiasi cha fedha ambazo Azam TV watatoa...www.mwanaspoti.co.tz
Na tena watu wakae wakijua kuwa hizo 20B za kila mwaka za azam zinaendesha wizara hata zaidi ya tatu huko Zanzibar 😂Hio inawezekana tu kama huyo mwengine anai value ligi kama main broadcaster, Azam ameivalue kwa Bilioni 200, kama mtu anataka Asilimia 10 ama 20 za Mechi basi atatakiwa kutoa asilimia 10 ama 20 za hicho kiasi, it's that simple.
Africa Kusini mwa jangwa la Sahara yupo Multichoice (dstv) yeye ndio ananunua hali za EPL na Uefa, wakaja G sport wakabid kama yeye haki zikagawanywa, G sport wakafilisika sasa hivi 100% ni Dstv.
So hakuna mtu anaezuia mtu mwengine kuonesha ligi ya Tanzania kama wapo tayari kuithamini ligi yetu na kutoa pesa nyingi.
Tukumbushane tu walipa haki za TV waliopita
-miaka ya 2009 walikuwa ni hao GTV (G Sport) walilipa milioni 300
-walipofilisika Star tv aka chukua ligi ikamshinda
-Alipotoka star tv Dstv akaichukua, akawa anaonesha mechi kubwa tu naye akaicha kwa kejeli kwamba ligi ya Tanzania hailipi bora kenya na Uganda
-Azam akaichukua Deal la kwanza lilikuwa Bilioni 5 na amekuja ame renew kwa dola $100M karibia Bilioni 280
Hilo ni deal la 3 kwa ukubwa Africa tumepitwa na South na Nigeria tu, nchi zilizobakia zote tumezipita.
Kama kuna mtu kweli anaona Azam anafaidi Atoe Bilioni 300 ama 400 anunue ligi, otherwise ni ujinga ku entertain upinzani na watu wa sio na uwezo.
Source
![]()
MZEE WA UPUPU: KWA MKATABA HUU, BAKHRESA HUNA BAYA
Azam TV imesaini mkataba wa miaka 10 kuonyesha Ligi Kuu Bara baada ya kushinda zabuni iliyotangazwa Aprili, mwaka huu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Kiasi cha fedha ambazo Azam TV watatoa...www.mwanaspoti.co.tz
SijuiDStv walitoa sh ngap kuonyesha mechi za simba na Yanga tuu?
Kuna kampuni ipi hapa Bongo itatoa zaidi ya hiyo?
Sasa ht wateja wakihisi kuumizwa bado hawatokuwa na la kufanya mana bado hakuna kampuni yenye Kuweza kugharamikia Production za ligi kuu labla serikali iingilie kati na kuipa nguvu TBC jambo ambalo naona haliwezekani na bado kuna vitu tutavikosa ambavyo tunavipata kutoka Azam TvSijui
Pia sijui kama kuna kampuni nyingine inaweza toa hiyo hela.
Lakini ni kweli bakhresa ameteka soko la kuonesha mpira.
Wateja hawana machaguo mengine zaidi yake
Sema mimi naamini monopoly ni mpaka wateja wahisi wanaumizwa, kama ilivyo kwenye makampuni ya internet
ila kwenye football broadcasting hapa tz hamna mtu anayehisi gharama ni ghali zinamnyonya.
na monopolies haziishi milele, mabadiliko ya teknolojia na mifumo ya biashara inaua monopoliesSasa ht wateja wakihisi kuumizwa bado hawatokuwa na la kufanya mana bado hakuna kampuni yenye Kuweza kugharamikia Production za ligi kuu labla serikali iingilie kati na kuipa nguvu TBC jambo ambalo naona haliwezekani na bado kuna vitu tutavikosa ambavyo tunavipata kutoka Azam Tv
Hakuna namnana monopolies haziishi milele, mabadiliko ya teknolojia na mifumo ya biashara inaua monopolies
mfano sgr kwa abood
Naiona hapo mkuu