Kesi ya Google: Hatimaye waanza kurecommend browser nyingine mbali na chrome, Je Kuna haja Serikali yetu ikaondoa monopoly inayofanywa na Bakhresa ?

N wajinga tuu ndio hawatokuelewa.

Na kingine n kwamba, hapa Africa n nchi kama tano hv ndio wanaorusha mechi zote za ligi live ikiwemo Tanzania/Azam Tv.

Hapa bongo kutoa Azam na TBC (hawa TBC n kwa sababu tuu n ya serikali) hizo Media zingine kulipana tuu mishahara ya laki nne nne wanashikana mashati ndio waje waweze kutoa zaidi ya 20B kwa mwaka kwa ajili ya kuonyesha mechi πŸ˜‚ na hapo n nje ya Production ya hizo mechi.

Tatizo la sisi Wabongo tukiona mzigo umesimama wanadhani umesimama wnyw wakati kuna watu wamewekeza parefu hapo.
 
Na tena watu wakae wakijua kuwa hizo 20B za kila mwaka za azam zinaendesha wizara hata zaidi ya tatu huko Zanzibar πŸ˜‚
 
DStv walitoa sh ngap kuonyesha mechi za simba na Yanga tuu?

Kuna kampuni ipi hapa Bongo itatoa zaidi ya hiyo?
Sijui

Pia sijui kama kuna kampuni nyingine inaweza toa hiyo hela.

Lakini ni kweli bakhresa ameteka soko la kuonesha mpira.

Wateja hawana machaguo mengine zaidi yake

Sema mimi naamini monopoly ni mpaka wateja wahisi wanaumizwa, kama ilivyo kwenye makampuni ya internet
ila kwenye football broadcasting hapa tz hamna mtu anayehisi gharama ni ghali zinamnyonya.
 
Sasa ht wateja wakihisi kuumizwa bado hawatokuwa na la kufanya mana bado hakuna kampuni yenye Kuweza kugharamikia Production za ligi kuu labla serikali iingilie kati na kuipa nguvu TBC jambo ambalo naona haliwezekani na bado kuna vitu tutavikosa ambavyo tunavipata kutoka Azam Tv
 
na monopolies haziishi milele, mabadiliko ya teknolojia na mifumo ya biashara inaua monopolies

mfano sgr kwa abood
 
Naunga mkono hoja...Japo nakumbuka Mkataba wa Azam Una miaka 10 mbele...Alafu moja ya mashart ya Mkataba maudhui ya Mpira yatarushwa na Azam pekee...
Huku Azam ikijinasibu kuwapa Tim za Mpira Pesa za Madaf ikiwa kama Bingwa kulipwa 500Mill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…