Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai...
Hawa wametumwa kufanya harwssment ya serkali ili watu watoe macho yao kwenye magaidi.
 
Kama Jamhuri haina interest na hii kitu, kesi haitafika popote.
 
Ofisi ya DPP ipo ajili ya kufunga wapinzani wa CCM. Over
CCM? Ipo inapumulia mashine hawadhubutu kuruhusu mikutano ya hadhara hii wakidhani inawajenga inawadhoofisha zaidi. Ni vyema wakalielewa hili itawatesa na iko siku watadhoofu kabisa. Hata wenyewe wanalizungumza tena kwa kuinamisha kichwa kwenye mchanga.
 
Makonda, Mnyeti, Hapi, Mrisho Gambo, Sabaya wanatakiwa kunyongwa hadi kufa
Hii imenishangaza, kuna watu madebe yao yalikuwa yanalia sana kama Jerry Muro, Mrisho Gambo, Sabaya na Genge kama hili najiuliza nini kimawafika hawa mabwana hadi wameamua kujivika busara hewa!?
 
Hii imenishangaza, kuna watu madebe yao yalikuwa yanalia sana kama Jerry Muro, Mrisho Gambo, Sabaya na Genge kama hili najiuliza nini kimawafika hawa mabwana hadi wameamua kujivika busara hewa!?
Walijua kucheka na dikteta enzi hizo
 
CCM? Ipo inapumulia mashine hawadhubutu kuruhusu mikutano ya hadhara hii wakidhani inawajenga inawadhoofisha zaidi. Ni vyema wakalielewa hili itawatesa na iko siku watadhoofu kabisa. Hata wenyewe wanalizungumza tena kwa kuinamisha kichwa kwenye mchanga.
Kweli tupu
 
Chadema mnahangaika sana, kinachowatesa ni kwamba wengi wenu hamkuwa mmejiandaa kuishi bila siasa.

Kwa maana kuyaishi maisha halisi tunayoishi watanzania kwa kutafuta riziki halali.

Mpaka sasa tukiomba orodha ya waliokuwa viongozi wanachama wa chadema ambao wanafanya shughuli zao kama kawaida.

Hawazidi 20,wengine woote walitegemea porojo tupu.

Na ndio wanaosumbua humu mitandaoni.mchana na usiku kucha.
 
Back
Top Bottom