Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM