Kwahiyo unataka kusema inaweza tupiliwa mbali au mahakimu kujitoa ili kubye tyme au niaje niaje! Mbona mambo meusiNazani umesikia bi mkubwa yupo mbeya ,kimtazamo wangu nazani amekwenda kwa sababu maalum hivyo usitarajie kipya kwenye ile kesi
Ngoja tuoneMwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
Mimi matarajio yangu ni hayo, sidhani kama mhimili ulojichimbia chini zaidi utakubali kuingia kwenye fedhewa ya kushindwa kwenye kesi ile, nazani rost tamu alikuwa sahihi kwa matamshi yake,kukanusha kwake baade ni kufunika kombe tuu mwanaharam apiteKwahiyo unataka kusema inaweza tupiliwa mbali au mahakimu kujitoa ili kubye tyme au niaje niaje! Mbona mambo meusi
Hukumu iliahirishwa kupisha sherehe za leo huko huko Mbeya! Hawakutaka disco liingie yero MasaiMwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
Wewe kama nani wa kuiamuru mahakama?Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
Unajua lakini kusoma na kuandika? Au unasomewa?Wewe kama nani wa kuiamuru mahakama?
Hivi nyie mnamfaham Rostam au mnamsikia na kumuona tu kwenye vyombo vya habari?
Nikudokeze kidogo?
Fikiri kabla hujajibu.
Kwa hili la bandari zetu mahakama ikionyesha udhaifu basi nguvu ya umma itatumika na watawala hawata amini kitakachotokea. Inatosha na imetosha!
Nasomewa.Unajua lakini kusoma na kuandika? Au unasomewa?
Basi anaekusomea hajui kusoma! Tafta mwingineNasomewa.
Kwani wanaomwambia Mbowe na Lissu kuwa HAWANA SHUKRANI KWA MAMA, WAMESAMEHEWA KESI ZAO LAKINI HAWAONYESHI SHUKRANI, hujawaelewa..!???Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
Wewe umekurupuka. Unatafuta kiki kupitia jina la Rostam?Basi anaekusomea hajui kusoma! Tafta mwingine
Tuombe Mungu mkono wake ukasimamie hakituone kama hii doctrine ya "separation of powers" ipo japo kidogo au ni blaah blaaah tu
Ina maana tayari umeshajua hukumu itakuwaje au kuna namna wewe unataka uamuzi uwe upande flaniMwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
Nami nasubiri sana nione km Rostam Aziz alituongopea ama alisema ukweli?Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo!
Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza!
Pamoja na Rostam kuombwa kukanusha kauli hiyo au kueleza ni namna gani mahakama zinaingiliwa ambapo alifanya hivyo na mjadala ukaisha!
Nashauri mahakama ithibitishie Umma kupitia kesi iliyofunguliwa mbeya kwamba ...mahakama hazipokei maelekezo yoyote kwenye maamuzi yao kama ilivyodaiwa na ROSTAM
98%Nazani umesikia bi mkubwa yupo mbeya ,kimtazamo wangu nazani amekwenda kwa sababu maalum hivyo usitarajie kipya kwenye ile kesi