Kesi ya Lissu imegeuka jukwaa la CHADEMA kuiambia dunia madhila wanayopitia

Nenda kasome ushahidi wa Heche na Golugwa, harafu njoo utuambie ni lini ulisikia wanayoyasema, wakiyasema kwa details kiasi kile.
Hii kesi imetoa forum ya CHADEMA kusimulia ambayo hawajawahi kuyasimulia kwa undani na ufasaha kama wanavyofanya sasa.
Labda wewe ndo unaanza kuyasikia hayo leo. Hakuna jipya hapo, labda tu kwa kuwa leo wanasemea Mahakamani lkn ni yale yale ambayo wamekuwq wakiyasema majukwaani na mitandaoni
 
Mahakama kuu ni court of records, maamuzi yake huwa ni sheria. Sio rahisi sana ikafanya maamuzi ambayo hayana msingi wa kisheria.
Kama mahakama haiwezi kutoa maamuzi bila nguvu ya kisheria kwanini sasa walimkuta na kesi ya kujibu?
 
Je hizo record za mahakama kuhusu hii kesi zinafaida gani ya moja kwa moja kwa Chadema?
 
Je hizo record za mahakama kuhusu hii kesi zinafaida gani ya moja kwa moja kwa Chadema?
Sijui wao ila kwetu wananchi na wale wanaotoa misaada mbalimbali wanaona kwa uwazi upinzani unavyokandamizwa kwenye nchi inayosema inatambua demokrasia.
 
Na Usisahau kwa Serikali kuiweka "public" hii kesi kunaifanya Serikali kubeba credit kubwa kitaifa na Kimataifa kwamba haina cha kuficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…