Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!

Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.

Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya umma na mbele ya waandishi wa habari. Alafu miezi mitatu upelelezi haujakilika!

No reform no election in Lissu's voice.
 
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
 
Kama wapelelezi ndio hivi kwenye kesi Kubwa namna hii basi tuna safafi ndefu
 
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Nafasi zao zitangazwe halafu wenye sifa waombe. Na baada ya hapo kuwepo na chombo maalum na huru cha kuwafanyia usahili kama wanavyofanya kwenye kada nyingine.

Haya mambo ya mtu mmoja kulimbikiziwa mamlaka ya kifalme, tulisha yakataa kitambo kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
 
Hiko chombo maalumu kinapatikana vipi?
 
Nafasi zao zitangazwe halafu wenye sifa waombe. Na baada ya hapo kuwepo na chombo maalum na huru cha kuwafanyia usahili kama wanavyofanya kwenye kada nyingine.

Haya mambo ya mtu mmoja kulimbikiziwa mamlaka ya kifalme, tulisha yakataa kitambo kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba.
Unahangaika kujibu bichwa maji?
 
Anamaanisha akili yako ni pumba haiwez kuchang'anua mambo huu mjadala mzito maana umekaa kishabik zaidi
Nani kaleta ushabiki?
Kaanzisha mjadala halafu hataki tujadili.
Abonyeze kitufe cha kuzuia comments kama kipo
 
Nani kaleta ushabiki?
Kaanzisha mjadala halafu hataki tujadili.
Abonyeze kitufe cha kuzuia comments kama

Yaan kiufup ni kwamba mleta mjadala ameleta hoja nzito ambayo akili yako inaelemewa kuichakata kiufasaha, ndo maana akasema ww mpumbavu.. sijui umenielewa hapo mkuu??
 
Back
Top Bottom