Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

Ifike muda haya yanayoendelea tuyakomeshe kwa gharama yoyote.

Sijui Watanzania tutaogopa mpaka lini kuwatolea uvivu hawa jamaa wachache wanaoendesha nchi kama waatakavyo?
 
Subiri mchakato wa katiba mpya uanze uone akili za CDM.

Utasikia wanataka majimbo, sijui kuwe na governors wa kuteuliwa, majimbo yajiendeshe yenyewe, kuwe na serikali za tatu za muungano; etc with the nonsense.

Halafu yale ya msingi kama madaraka ya raisi wanasahau.

Ukiwasikiliza leo wanavyolalamikia kuharibika kwa mchakato wa katiba kipindi cha JK utadhani kweli CCM inahusika.

Rasimu ilikuwa imejaa upuuzi mtupu serikali sijui itoe guarantee ya ruzuku, we umeona wapi mambo hayo yapo kwenye katiba.

Watanzania ni predictable subiri, huo mchakato wa katiba mpya uanze uone hoja za makundi yanayojiita ya wanaharakati akili za wafuasi wa CDM.

Katiba ya Tanzania aina shida zaidi ya madaraka ya raisi. Hii iliyopo tu kuna sheria nyingi batili kwa mujibu wa katiba na unchallenged, halafu wanakwambia katiba mbovu.
 
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Fanya utafiti kidogo ujue nchi nyingine wanapataje Jaji mkuu...!
 
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Ukiona mada iko juu ya uwezo wa akili yako ficha ujinga wako kwa kuipotezea siyo kila mada uchangie.
 
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Ukiona mada iko juu ya uwezo wa akili yako ficha ujinga wako kwa kuipotezea siyo kila mada uchangie.
 
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!

Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.

Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya umma na mbele ya waandishi wa habari. Alafu miezi mitatu upelelezi haujakilika!

No reform no election in Lissu's voice.
Mfumo wetu wa mahakama hauko huru, haki haitendeki.Mtu anafunguliwa kesi nzito ya uhaini ushahidi ni wa kuokoteza
 
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!

Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.

Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya umma na mbele ya waandishi wa habari. Alafu miezi mitatu upelelezi haujakilika!

No reform no election in Lissu's voice.
Ahahahahaha! Trump alimfukuza Mkuu wa CIA kwa meseji wa X zamani Twitter.
 
Back
Top Bottom