min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mkuu wengi naona wamekataa hoja yako🤔Nani kaleta ushabiki?
Kaanzisha mjadala halafu hataki tujadili.
Abonyeze kitufe cha kuzuia comments kama kipo
Mkuu wengi naona wamekataa hoja yako🤔Nani kaleta ushabiki?
Kaanzisha mjadala halafu hataki tujadili.
Abonyeze kitufe cha kuzuia comments kama kipo
Soma na uwe na akili acha ujanja wa kijinga. Unajibu ili nawe uonekane umejibu. Akili zako kama mama yenu.mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Akili hizi ndizo zimetufisha hapammetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Muulize mama yako wewe ulipatikana kupitia mchuzi upi ama madhiwa yapi?Hiko chombo maalumu kinapatikana vipi?
Kupitia marekebisho ya Katiba ya nchi.Hiko chombo maalumu kinapatikana vipi?
Unaongea kama fala kikojozimmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
mmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
Katiba huanzia kwenye watu wenye akili ya kawaida (common sense).Ishu sio wapelelezi ni katiba isiyofaa
Anamanisha waache wenye akili wajadili hiyi mada kijana mzeeHili ni jukwaa la mjadala unamaanisha nini ??
ndo ushangae wanataka majaji wateuliwa na vyama vya siasa wapige kampeni, au wawe sijui machifu akifa mwanae anarithi, sijui wanatumia pombe gani sikuhizimmetoka kwenye tume sasa mmekuja kwenye mahakama.
Kwa hiyo mahakimu na majaji wachaguliwe kwa kura??
ww jamaa kichwa chako kimejaa mavi unajifanya taira kwenye mambo ya msingi.Dunderhead ulidhani hili jamvi ni tiktok?yaani upost pumba ziachwe hivi hivi
????Katiba huanzia kwenye watu wenye akili ya kawaida (common sense).
Ukiwaandikia wanyama katiba itakuwa na maana yoyote?
Changamoto ya Afrika na pengine panapofanana ni zaidi ya katiba (elimu za kukariri).
Katiba lazima zikae kwenye akili za wananchi badala ya makaratasi.
Hapo hakuna kesi zaidi ya kumkomoaJaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!
Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.
Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya umma na mbele ya waandishi wa habari. Alafu miezi mitatu upelelezi haujakilika!
No reform no election in Lissu's voice.