Kesi ya Lissu inayoanika uozo na uholela ndani ya serikali!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na miongozo ya utendaji kazi katika ofisi za umma.

Mapolisi hawajui Polisi General Orders (PGO) kwa hiyo kumejaa uholela! Magereza hawajui Prisons Standing Orders (PSO) kwa hiyo uholela mtupu. Ardhi kumejaa utapeli wa viwanja na mashamba. Elimu vyuo vinatoa digrii fake na viongozi wa kisiasa kupewa PhD fake. Hali ni hiyo hiyo katika idara zote za serikali. Mahakama zinasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa ili kutoa maamuzi!

Kwenye mambo ya kijamii na kisiasa uozo na uholela umetamalaki. Tume za uchaguzi zimejaa wizi na udaganyifu kiasi kwamba wanatangazwa viongozi fake! Huko TOC mtu aliyepata kura moja ndiye aliyetangazwa mshindi wa Urais dhidi ya mshindi halali aliyepata kura 29!

Nchi hii inahitaji ukombozi mpya ili irudi kwenye mstari wa imani na haki vinginevyo inaelekea katika mzozo mkubwa wa uvunjifu wa amani!
 
Hii inaitwa "kanyaga Bora twende"!
 
Ndiyo maana sasa tunafaa kuwa koloni la mchina ama kiduku,ama ayatollah,wenye uholela wanyongwe nyongwe kupunguza uholela ulio tamalaki
 
Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na miongozo ya utendaji kazi katika ofisi za umma.

Mapolisi hawajui Polisi General Orders (PGO) kwa hiyo kumejaa uholela! Magereza hawajui Prisons Standing Orders (PSO) kwa hiyo uholela mtupu. Ardhi kumejaa utapeli wa viwanja na mashamba. Elimu vyuo vinatoa digrii fake na viongozi wa kisiasa kupewa PhD fake. Hali ni hiyo hiyo katika idara zote za serikali. Mahakama zinasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa ili kutoa maamuzi!

Kwenye mambo ya kijamii na kisiasa uozo na uholela umetamalaki. Tume za uchaguzi zimejaa wizi na udaganyifu kiasi kwamba wanatangazwa viongozi fake! Huko TOC mtu aliyepata kura moja ndiye aliyetangazwa mshindi wa Urais dhidi ya mshindi halali aliyepata kura 29!

Nchi hii inahitaji ukombozi mpya ili irudi kwenye mstari wa imani na haki vinginevyo inaelekea katika mzozo mkubwa wa uvunjifu wa amani!
Huyu ulimuelezea hapa ndio MAMA TANZANIA HALISI..tunasafari ndefu, na itazidi kuwa ndefu hasa kama tutaendelea kuikumbatia hii CCM!
 
Haya mambo hatuyataku,IPO siku yatakuwa safi, Wacha washupaze shingo.
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Ndiyo hivyo ndugu, ndiyo maana tunapigania katiba mpya yenye meno.
Na wao ndio hawataki maana wanajua watawajibishwa kwa vifungu vya katiba mpya. Hik inamaana kuwa hawaitakii mema Tanganyika yao kwa vizazi vijavyo, wanaona bora wao wafariki wakiwa kwenye haya wanayofaidika nao na wawaachie shida vizazi vya mbele.
 
Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na miongozo ya utendaji kazi katika ofisi za umma.

Mapolisi hawajui Polisi General Orders (PGO) kwa hiyo kumejaa uholela! Magereza hawajui Prisons Standing Orders (PSO) kwa hiyo uholela mtupu. Ardhi kumejaa utapeli wa viwanja na mashamba. Elimu vyuo vinatoa digrii fake na viongozi wa kisiasa kupewa PhD fake. Hali ni hiyo hiyo katika idara zote za serikali. Mahakama zinasubiri maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa ili kutoa maamuzi!

Kwenye mambo ya kijamii na kisiasa uozo na uholela umetamalaki. Tume za uchaguzi zimejaa wizi na udaganyifu kiasi kwamba wanatangazwa viongozi fake! Huko TOC mtu aliyepata kura moja ndiye aliyetangazwa mshindi wa Urais dhidi ya mshindi halali aliyepata kura 29!

Nchi hii inahitaji ukombozi mpya ili irudi kwenye mstari wa imani na haki vinginevyo inaelekea katika mzozo mkubwa wa uvunjifu wa amani!
ok.🐒
 
Back
Top Bottom