Ni vizuri mashabiki wake waachwe wakasikilize kesi kwa amani, kuwapiga inaharibu sana taswira ya nchi na kuwapa nguvu zaidi na kumpaisha kimataifa mhusika, kesi ikiendeshwa kwa amani hakuna mileage atakayopata itakuwa tu kama kesi zingine ambazo nobody knows them
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi aatatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Mbona ni aibu sana kwa tz? Nchi ya hovyo sana hii!Eeeh Mungu mlinde mja wako Lisu.
Aisee Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika mpya. Mwenyezi Mungu amlinde tu na kumjalia afya njema.
Kuna siku hayaendelei? unashangilia ujinga?No way out maisha lazima yaendelee. Tunaamini vyombo vya usalama vitakuwa imara
Kwanza hakuna kesi zaidi ya uonevu tupuCcm ni wajinga, wanashindwa kuelewa muamko wa hiyo kesi unatokana na matendo yao na policcm kuhujumu haki za upinzani, matokeo yake Chadema na upinzani wanapata free mileage. Kesi ingeanza kuendeshwa kwa uhuru na haki wala hao wakimataifa wasingevutiwa kufuatilia.