PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
wewe Samia si ndio Mungu wako na Mama yako pia? Daily una muimba na pucha yake ndio umeweka secreen server kwenye simu yako. Ujinga
 
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Inadaiwa baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.

View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583

Jaji mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutungi ..

Wote hao wamefuata gaidi?!

Ama kweli:

"Mene mene tekeli na Peresi!"

Pascal Mayalla, ushauri mmewaachia kina Lucas Mwashambwa na kina Tlaatlaah kuendelea kuifungua nchi?

Siyo kuwa kuwa kuendelea na hii kesi ni zaidi ya msiba?
 
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutungi na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.

View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
mlidhani ni mzaha ee,
mrudi nyumbani sasa mkasaidie wanaopotea, okay Willy?🐒
 
View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.

Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.

Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Tanzania ina Vijana wachawi wengi kuliko wazee
 
Sasa ndiyo umeandika ufala gani.
 
"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Hizi ndiyo chawa zinazovimbisha kichwa cha mama mama mama mama mama...Hapo umesema na mama siyo?
 
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutungi na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.

View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
Junction zote Polisi wamejaa
 
View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.

Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.

Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.

Sasa kila mtu si atakufa.

Unaongea as if utaishi milele duniani
 
Nchi za Kiafrika sio sawa na za ulaya, Nchi zetu hizi ukiyumba tu kama kiongozi, Nchi kwishaaaa, na pengine usiweze tena kuisimamisha tukaishi jinsi tulivyozoea, umakini ni muhimu sana.
Ni kukosa hekima na busara, kuna shida gani wakikaa pamoja kama watanzania mezani wakarekebisha kasoro na nchi ikasonga mbele? hapo ni kuchochea uhasa wa kipumbavu bila sababu. Wewe leo ni mtoto uje uambie baba ako aliuliwa ama kufungwa na fulani au ndugu yako si ndiyo mambo ya kulipiza kisasi yanaanza
 
Mbona kama Wana poteza mda Kwa lisu maana miez inakimbia uchaguz unakaribia bado hajamaliza kunad sera mikoan mmh
 
Bora iwekwe wazi kama wakenya hawaruhusiwi kuingia nchi hii watu wasipoteze pesa na muda wao.
 
Ni kukosa hekima na busara, kuna shida gani wakikaa pamoja kama watanzania mezani wakarekebisha kasoro na nchi ikasonga mbele? hapo ni kuchochea uhasa wa kipumbavu bila sababu. Wewe leo ni mtoto uje uambie baba ako aliuliwa ama kufungwa na fulani au ndugu yako si ndiyo mambo ya kulipiza kisasi yanaanza
Kiongozi wa nchi hasa hizi za Kiafrika akiyumba kidogo hakuna tena Tanzania, amini hilo!, why so?
Nchi nyingi zimeshindwa kuziba pengo la wenye nacho na wasio nacho, ambao ndiyo 80%,,wasinacho wengi wanaona bora mambo yaharibike nchi ianze upya!, Kazi inaanzia hapo, wenzetu ulaya wamebalance hii situation, hakuna anayeshindwa maisha mno kupindukia, Gap linaleta chuki na uadui, yule anishi vizuri, wewe unaishi kama kenge!, wakati serekali ikipambana na Mapungufu haya ili kuweka mambo sawa, basi ni lazima ilinde amani kwa nguvu zote!
 
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutunga na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.

View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
Wamewashikilia kwa kosa gani? Kuna mabo ccm wanafanya yanaaibisha sana nchi yetu
 
View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.

Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.

Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Watu kama nyinyi mara nyingi ndiyo mnaishia kuwa mashoga.
 
Samahani mkuu, hivi huwa unajihusisha na vitendo vya ushoga?
 
Back
Top Bottom