Wapo waliomwita Jiwe ni Zaidi ya Yesu na Mtume Mohammed, enzi zake, Unakumbuka pengine ulikuwa miongoni mwao,halafu unasingizia wazungu. Hivi unajua yanayotokea DRC ni matokeo ya tawala mbovu dizaini hii ya watawala wa ccm. Mmepora kila kitu mmekimbiza uarabuni."" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetiu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Tanzania ina nini cha kusumbuliwa na wazungu? Migodi mikubwa imeiuza kizembe mpaka dhahabu imeisha mmeachiwa mashimo, mmebakiza nini cha kufanya wazungu wawatamanie nyie?
Leo mgodi wa Williamson Diamonds Ltd mmemgawia Rostam, baada ya Petra Dimond kubwaga manyanga.