BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
wewe Samia si ndio Mungu wako na Mama yako pia? Daily una muimba na pucha yake ndio umeweka secreen server kwenye simu yako. Ujinga"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Inadaiwa baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.
View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
mlidhani ni mzaha ee,Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutungi na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.
View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
Hamna kitu huyu MamaHuyu maza ni dikteta haswa hafai
Nchi za Kiafrika sio sawa na za ulaya, Nchi zetu hizi ukiyumba tu kama kiongozi, Nchi kwishaaaa, na pengine usiweze tena kuisimamisha tukaishi jinsi tulivyozoea, umakini ni muhimu sana.Huyu maza ni dikteta haswa hafai
Tanzania ina Vijana wachawi wengi kuliko wazeeView attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Huwa anajifanya mcha MUNGU kumbe ni mtu hatari kuliko hata fisiHamna kitu huyu Mama
Sasa ndiyo umeandika ufala gani.View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Hizi ndiyo chawa zinazovimbisha kichwa cha mama mama mama mama mama...Hapo umesema na mama siyo?"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Junction zote Polisi wamejaaKesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutungi na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.
View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Ni kukosa hekima na busara, kuna shida gani wakikaa pamoja kama watanzania mezani wakarekebisha kasoro na nchi ikasonga mbele? hapo ni kuchochea uhasa wa kipumbavu bila sababu. Wewe leo ni mtoto uje uambie baba ako aliuliwa ama kufungwa na fulani au ndugu yako si ndiyo mambo ya kulipiza kisasi yanaanzaNchi za Kiafrika sio sawa na za ulaya, Nchi zetu hizi ukiyumba tu kama kiongozi, Nchi kwishaaaa, na pengine usiweze tena kuisimamisha tukaishi jinsi tulivyozoea, umakini ni muhimu sana.
Kiongozi wa nchi hasa hizi za Kiafrika akiyumba kidogo hakuna tena Tanzania, amini hilo!, why so?Ni kukosa hekima na busara, kuna shida gani wakikaa pamoja kama watanzania mezani wakarekebisha kasoro na nchi ikasonga mbele? hapo ni kuchochea uhasa wa kipumbavu bila sababu. Wewe leo ni mtoto uje uambie baba ako aliuliwa ama kufungwa na fulani au ndugu yako si ndiyo mambo ya kulipiza kisasi yanaanza
Wamewashikilia kwa kosa gani? Kuna mabo ccm wanafanya yanaaibisha sana nchi yetuKesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Inadaiwa Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutunga na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.
View attachment 3338578
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
Watu kama nyinyi mara nyingi ndiyo mnaishia kuwa mashoga.View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Samahani mkuu, hivi huwa unajihusisha na vitendo vya ushoga?View attachment 3338587