Wapo waliomwita Jiwe ni Zaidi ya Yesu na Mtume Mohammed, enzi zake, Unakumbuka pengine ulikuwa miongoni mwao,halafu unasingizia wazungu. Hivi unajua yanayotokea DRC ni matokeo ya tawala mbovu dizaini hii ya watawala wa ccm. Mmepora kila kitu mmekimbiza uarabuni."" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetiu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Hivi tz tumekosa busara kiasi ichi ,nani analoga Taifa hili wakuu, hii nini sasa , Taifa litachoka sana hili wakuu, kuna mstari mwekundu kama Taifa limevuka ,tuweni makini asema BwanaKwanza hakuna kesi zaidi ya uonevu tupu
Una Wasira una Amos Makalla una Makonda unafikiri watakuwa wanakushauri nini zaidi ya hiki unachoshuhudia?Ni vizuri mashabiki wake waachwe wakasikilize kesi kwa amani, kuwapiga inaharibu sana taswira ya nchi na kuwapa nguvu zaidi na kumpaisha kimataifa mhusika, kesi ikiendeshwa kwa amani hakuna mileage atakayopata itakuwa tu kama kesi zingine ambazo nobody knows them
CCM IMESHAKUFA WANGEKUWEPO WANGEJITOKEZA, SASAHIVI NI BORA KUSEMA VIONGOZI WETU NI WAJINGA TUSIWAFICHE KWENYE KICHAKA CHA CCMCcm ni wajinga, wanashindwa kuelewa muamko wa hiyo kesi unatokana na matendo yao na policcm kuhujumu haki za upinzani, matokeo yake Chadema na upinzani wanapata free mileage. Kesi ingeanza kuendeshwa kwa uhuru na haki wala hao wakimataifa wasingevutiwa kufuatilia.
Mara nyingi wenye macho ya hivyo wako hivyo! Ni makatili mwanzo mwisho!Huyu maza ni dikteta haswa hafai
Aibu kubwa haswaHivi tz tumekosa busara kiasi ichi ,nani analoga Taifa hili wakuu, hii nini sasa , Taifa litachoka sana hili wakuu, kuna mstari mwekundu kama Taifa limevuka ,tuweni makini asema Bwana
Mbaya zaidi siyo ndugu yetu ni mtu wa kuja/kukopaMara nyingi wenye macho ya hivyo wako hivyo! Ni makatili mwanzo mwisho!
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?
Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025
Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.
Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutunga na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.
View attachment 3338578
View attachment 3338606
Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.
View attachment 3338583
kwa masilahi ya ccm siyo watanzaniaNo way out maisha lazima yaendelee. Tunaamini vyombo vya usalama vitakuwa imara
Huna akili.View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
Haya mateso hayatadumu.View attachment 3338587

Hivi ni kweli misitu yetu tumewapa Oman?View attachment 3338587
Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.
Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.
Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
🖕"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
Hebu niambie ni raha gani unaipata unapoona watanzania wenzio wanauliwa kwa kukosoa tu na kuusema ukweli kisa tu kwa ajili ya tamaa ya madaraka ya watu wachache wanao linda mianya yao ya kupiga pesa hazina isitikiswe?maana ukiulizwa hasa kosa la mdude kuuliwa ni lipi sidhani kama unaweza kutoa jibu sahihi kabisa na lenye maanaView attachment 3338587