Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

Nasema tena serikalini kwa hawo mawakili wanaoiwakilisha Jamhuri hakuna awezaye kumshinda Lissu kwa hoja. Maana hata wao wanafundishwa jinsi ya kutoa hoja zao. Mwenyezi Mungu ambariki Lissu na kuweza kushinda kila aina ya mitihani inayomfika kutokana na chuki za ccm.
 
Naskia kuwa watu wamegeuka kuwa black hermit huko mahakaman
Wananchi waliofika Mahakamani muda huu saa saba na nusu wameanza kuimba

Tunaitakaaaaa Jamhuri!…

Tunataitaka Jamhuriiiiiiii!….

Tunaitaaka Jamhuriiii!…

Wanaimba huo wimbo Mahakamani, wameanzisha wakazi wa kule GAZA.
 
Kumbe Ngoma bado mbichi,ingawa naona Lisu Yuko bzr
Yes hii kesi Bado mbichi ila Kwa dalili Lissu ashawashika pabaya maana ushahidi wa kidigital ambao ndo ungmkuta na hatia Lissu aliupangua na. Mahakama ikaukataa, hawa waliobaki ni wale wa nilivyoongia Instagram nilihamasika.
Bado mziki ni mashahidi wa Lissu wataletwa mahakamani? Akina Samuya, Mpango na majaliwa
 
Back
Top Bottom