MWAMBA MMOJA TU KAKOJOZA JOPO LA MAWAKILI.
Wananchi waliofika Mahakamani muda huu saa saba na nusu wameanza kuimbaNaskia kuwa watu wamegeuka kuwa black hermit huko mahakaman
Ok kesi, mashahidi wamebaki wangapi?Nadhani kutoka ni ngumu hadi ushahidi ukamilike
Nadhani wametoka ushahidi 12 kati ya 30 upande wa jamhuri.Ok kesi, mashahidi wamebaki wangapi?
AmenUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana
Kumbe Ngoma bado mbichi,ingawa naona Lisu Yuko bzrNadhani wametoka ushahidi 12 kati ya 30 upande wa jamhuri.
Bado na mashahidi 30 wa Lissu
Yes hii kesi Bado mbichi ila Kwa dalili Lissu ashawashika pabaya maana ushahidi wa kidigital ambao ndo ungmkuta na hatia Lissu aliupangua na. Mahakama ikaukataa, hawa waliobaki ni wale wa nilivyoongia Instagram nilihamasika.Kumbe Ngoma bado mbichi,ingawa naona Lisu Yuko bzr