Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

Hawa mashahidi ndio hata mm nawasubiri
 
wanalazimisha kufunguliwa kwa sanduku la PANDORA 🤣 ngoja tuone mana jamaa kaahidi kuwashughulikia ipasavyo popote waendapo.
 

24 February 2026
Mahakama Kuu ya Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam

EPISODE 33: MAJAJI WAMEKATAA USHAHIDI WA MAUAJI YA OKTOBA 29 LISSU AMESHINDA PINGAMIZI KIBABE


View: https://m.youtube.com/watch?v=ML9ApeztWusMaamuzi ya majaji leo tarehe 24 February 2026 yamekubaliana na mshitakiwa, Tundu Antipas Lissu, ambaye jana 23 February 2026 aliweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa ushahidi huo wa ziada ambapo Tundu Lissu alitoa hoja zifuatazo : Kisheria: Kwa mujibu wa kifungu cha CPA 308 * cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, kinachopaswa kupokelewa ni maelezo ya shahidi ambaye hakuwepo wakati wa mahakama ya ukabidhi Kisutu, na si kuongeza ushahidi wa shahidi wa jamhuri ofisa wa polisi ACP Amin Mahamba ambaye tayari alishatoa ushahidi wake kule Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Kisutu.

*CPA This Act may be cited as the Criminal Procedure Act : read more: source :
 
TOKA MAKTABA :
Agosti 2025

 
EPISODE 33: MAJAJI WAMEKATAA USHAHIDI WA MAUAJI YA OKTOBA 29 LISSU AMESHINDA PINGAMIZI KIBABE

24 February 2026
JAMHURI YAPELEKA UAMUZI MAHAKAMANI YA RUFAA
Jamhuri kupitia DPP yakimbilia mahakama ya rufaa ipitie uamuzi wa jopo la majaji waliotoa uamuzi leo

LISSU AUWASHA MOTO MAHAKAMANI / NAKWENDA KUWASHUGHULIKIA MAHAKAMANI W​


View: https://m.youtube.com/watch?v=To3obT15EII
 
Wanafunndishwa sheria na waliyetaka kumfundisha sheria.
 
24 February 2026

EPISODE 34 : MAWAKILI WA JAMHURI WAMEKIMBILIA MAHAKAMA YA RUFAA " NITAWAFATA HUKO HUKO " TUNDU LISSU​


View: https://m.youtube.com/watch?v=95a-5qAULOALengo la Rufaa: Amesema anafahamu hatua hiyo imechukuliwa kwa lengo la kurefusha mashauri ili aendelee kukaa gerezani. "Hilo lengo ni kupeleka huko huku yasimame ili huyu mbaya wao aendelee kukaa gerezani," alisema Lissu kwa uchungu.Msimamo wake: Amesisitiza kuwa atawafuata Mahakama ya Rufaa haina nao, akiamini kuwa kesi mashiko na mwisho wake utajulikana watakaporejea Mahakama Kuu.
 
24 February 2026

WAKILI WA CHADEMA AFAFANUA SARAKASI ZA JAMHURI DHIDI YA TUNDU LISSU


View: https://m.youtube.com/watch?v=munQ3DCXOyYJaji mkuu George Masaju sasa atupiwa mpira wa kesi ya Tundu Lissu kuhusu upande wa jamhuri kupinga Mwenendo Mzima wa kesi ya Tundu Lissu

Jaji mkuu George Masaju sasa ana jukumu la kuteua jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kusikiliza malalamiko ya Jamhuri / DPP kuhusu kesi ya Tundu Lissu inavyokwenda

Hivyo kesi iliyopo Mahakama Kuu imehairishwa kwa muda usiojulikana hadi Mahakama ya Rufaa itakapotoa uamuzi kuhusu rufani ya Jamhuri / DPP
 
Hii ni Baada ya pingamizi lake kukubaliwa n.a. kusababisha Mawakili wa serikali kukimbia

Bila shaka Jaji hatakuwi n.a. la kufanya Bali kumuachia huru Tundu Lissu

Hatimaye Shetani ameshindwa
Na ndio hicho cha kuimaliza Kesi kiaina ingawa sasa wame ichelewesha hatua hiyo, Kwa kuipeleka, Mahakama ya rufaa, huku wakitafakari tutoke vipi, na labda mtuhumiwa atachoka na kukubali mashrti yao
 
I am sure hata kama wangekubali huyo mahamba alete huo ushahidi bado utakuwa ni ujinga uleule kwani ana quality gani zaidi ya mapolisi mengine? Wote viazi tu na Lissu ataupangulia mbali na kumuaibisha zaidi mamaduro!

Japo ndio wamemfanya turufu ya kuwaokoa kina katuga na ukiazi wao. Tuliona quality ya kingai kwa kesi ya Mbowe so hamna kamishna wala konstebo anayejua anafanya nini, kazi yao ni manguvu na kuua tu

Polisi wa Tz kuanzia aijipii hadi wa kata wote viazi tu medicre wasiojua hata PGO yao wenyewe, yani kama angekuwa askofu halafu hajui biblia/misale au shekhe hajui kuruani yake!

Uzuri Lissu kawaonya kwamba wakileta hayo wasijekujuta tu, muda utaongea yetu macho, sikio la kufa halisikii dawa so huenda ule ukombozi ushafika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…