Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Acha uongo. Utakuwa umepigwa pesa wewe:
Registered On: 2026-07-15
Expires On: 2027-07-15

NameCheap ni host ya bure. Mwambie akurudishie pesa yako aliyekupiga

View attachment 3667799
Hicho Ulichoonyesha hakiusiani na tovuti husika, lakini pia mimi sina shaka na developer wa website hiyo sasa kama yeye kanipiga hela, kaniibia or anything else ni sawa mimi ninachotambua ni website hiyo itakuwa hapo zaidi ya miaka 7 so kuhusu Expiration ni kila mwaka ambayo hapo inasema ni 2027 mwezi wa saba so kila mwaka mmoja itasema tu hivyo isipokuwa account ya hao namechap hiko na balance ya kutosha kiasi cha kufanya auto-Renew yenyewe.

Pia naomba niendelee kukukumbusha kwamba mimi sio mtaalamu wa maswala ya namna gani website inaendesha, inaundwa na mengineyo.

Mimi nimekupa link hiyo hili ukasome kile kilicho ndani sio namna website inavyojiendesha.
 
WAFUATAO WATAFIKA MAHAKAMANI KUHOJIWA NA TUNDU LISSU.

1. Camillus Mongoso Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi

2. Sylvester Anthony Mwakitalu – Mkurugenzi wa Mashtaka

3. Jenerali Jacob John Mkunda – Mkuu wa Majeshi

TUKUTANE KESHO ASUBUHI.
 
MAHAKAMA Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imewaita Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda.

Wakuu hao wa usalama wameitwa ikiwa ni wiki chache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi uhaini kuwahitaji kuwa sehemu ya mashahidi wake.

Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Wengine ambao Lissu aliwahitaji kwenye ushahidi huo ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan, aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Jaji Ndunguru anaendelea kusoma uamuzi,
anasema Mahakama imejiuliza endapo pingamizi ni la msingi.

Kifungu cha 281 cha CPA kinaeleza kuwa msajili atatoa summons kwa mashahidi waliotajwa wakati wa committal na tumeangalia ni kweli kwenye proceedings hakuna orodha ya mashahidi. Kutoorodheshwa mashahidi hakuwezi kutibiwa wakati wa usikilizwaji wa hoja za awali.

Tunakubaliana na upande wa mashtaka kwamba kutowataja mashahidi wakati wa committal hakutibiwi na kuwataja wakati wa usikilizwaji wa hoja za awali.

Kwa mujibu wa kifungu cha 314 cha CPA kinaipa Mahakama hiari ya kuruhusu mashahidi kuitwa kwa kuangalia umuhimu wa mashahidi hao.

Wakati mshtakiwa anasema anawataka hao mashahidi alisema anawataka waje waeleze kama walitishika au vinginevyo.

Katika kesi za jinai upande wa mashtaka ndio una wajibu wa kuthibitisha jinai na sio upande wa utetezi kuthibitisha utakatifu wake (innocence yake) hivyo Jamhuri ndio walikuwa na wajibu wa kuwaleta wao hao mashahidi kuja kuthibitisha na sio upande wa Jamhuri. Mahakama inaona kwamba hakuna haja ya kuwaita mashahidi hao na ushahidi wao sio relevant katika kesi hii kwa upande wa utetezi.


 
Wewe Layman utajulia wapi? Endelea kupiga propaganda uchwara huku kichwani ukiwa mpumbavu.
 
Baada ya AIBU watakayopata hapo mahakamani then itatungwa tena Sheria ya kuwalinda hao big three.

Sipati picha atakapoulizwa Bwana Wambura kuwa alitumia PGO namba ngapi kuwakamata waliopanga kufanya uhalifu baada ya kuamasika kwa hotuba ya Lisu then akawaachia baadae kweli uhalifu ukafanyika na hadi sasa hawajakamatwa tena.

CDF ataweza kutwaambia kilichotokea 29. Lisu kamatia hapohapo hata Mwakitalu akifuta kesi kesho wewe komaa walete ushahidi.
 
Aise MUNGU awatie nguvu viongozi wetu pasipo na shaka Lisu ataachiwa hakuna baya alilolifanya
 
Wewe Layman utajulia wapi? Endelea kupiga propaganda uchwara huku kichwani ukiwa mpumbavu.
Asante sana, na hapa napata jibu kwamba wewe hupo hapa hili kulushiana maneno yasiyona hoja nzito, maneno ya matusi, na karaha mimi siko hapa kujitambulisha pengine nikijitambulisha utaniheshimu halaka sana.

Ninachokuomba kama kweli hupo tayari kwa hoja nzito, ukosoaji uliokuwa na hoja, heshima na uwazi nakukaribisha kwa hilo lakini kama hupo hapa kwa matusi, kejeri na chuki siko pamoja na wewe.

Pia kwa kuwa Tovuti niliyokutajia ina jambo la maana sana naomba nikueleze kwa uwazi kwamba.
Katika tovuti ya www.katibampya.com kuna rasimu ya katiba iliyoaanzisha muundo wa dola lenye mihimili minne ya kitaifa, Yaani.
1. Baraza la usimamizi wa Taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania.

Naomba nichambue kidogo baraza la usimamizi wa taifa ni nini.?
1. Baraza hilo ndio muhimili wa usimamizi wa misingi ya taifa, tathmini za kitaifa, na muongozo.

2. Baraza hilo ndio mamlaka ya kimuungano kagi ya tanganyika na Zanzibar ambapo kila upande wa muungano wan wawakilishi wa baraza, yaani.
(A) Baraza la mapinduzi Zanzibar ndio wawakilishi wa upande wa zanzibar
(B) Tanganyika social council ndio wawakilishi wa upande wa Tanganyika.
"Muundo huu unapunguza wingi wa serikali za pande za muungano , yaani kama hile miundo mingine ya muungano ya serikali, 2, na 3. Muundo huu umeweka wawakilishi kwenye muhimili mmoja mpya na kupunguza wingi wa taasisi za kitaifa",

3. Baraza hilo ndio Mlinzi wa ufuasi wa katiba, yaani linaimiza, linayoa tathmini na muongozo kwa mamlaka zote kufauta katiba. Kwa lugha ya kimchezo ni sawa na kusema ndio mlinzi wa ufuasi wa katiba na mamlaka zote zitadhibitiwa zisitoke njee ya mipaka iliyowekwa na katiba kuhusu mamlaka husika.

(Baraza la usimamizi wa taifa limetamkwa katika ibara ya 98 mbaka 116, hivyo basi mipaka, mamlaka, majukumu yake ya dhiada, na mengineyo yamewekwa katika ibara hizo zilizotajwa)

Nikutake upitie hapo kisha njoo na hoja yenye kuunga mkono, kjkosoa kwa hoja au vyovyote pia naomba njseme kwamba rasimu hiyo imezungumzia mambo menvi sana zaidi ya muundo wa dola lenye mihimili minne.

Rasimu kamili hipo kwenye tovuti ya www.katibampya.com
 
Achana na utapeli. Unaandika too much word, context zero. Website za contents za serikali zinaishia na .tz
 
ujinga ndio ulionao kichwani. Haufuatilii wanavyokaangwa Wana prove prosecution case wenyewe kwa kuitikia "ndio" ni kweli kwamba.........ndio
Watu wanawapa R.I.P,wafu inabidi hata wazima, wenye Akili mgando kama Wewe, Wapewe RIP!
 
Wanaenda kutiwa aibu hadharani kweupe kabisa, naomba siku hiyo vitu viwe mubashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…