Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Sio huyo ni DCI Ramadhan Kingai.. Sylvester Anthony Mwakitalu – Mkurugenzi wa Mashtaka
Mwakitalu sio DCI ni DPP.
Sio huyo ni DCI Ramadhan Kingai.. Sylvester Anthony Mwakitalu – Mkurugenzi wa Mashtaka
Sidhani kama watakujaNa Waje tu, asikimbie mtu.
Katika hali ya kawaida mtu mwenye akili nzuri angeelwa kwa uamzi huo kwamba Tundu Lissu hana hatia.Majaji walianza toka jana kuwaweka watu kisaikolojia kuwa sio lazima mashahidi wawe wengi. Na wameshasema kesi ndani ya siku 14 iishe. Wanachomaanisha hata hao mashihidi anaowataka Lisu hawataitwa maana siku zitazidi hizo 14. Pia hao mashahidi anaotaka Lisu waitwe mahakama haiwezi kuwaita.
ndo maana Kazi ndungai alikufa kibuduYaani mtu kapigwa risasi waziwazi kapelekwa kwenye matibabu wao wanasema afutiwe ubunge kwasababu ya utoro daah
Narudia tena mimi sio mtaalamu wa maswala ya website inayoundwa, mimi ninachojua ni kile kilicho ndani ya hiyo website, so hoja hapa sio website inaishia na .com, .tz, or .co.tz hoja hapa kile kilicho ndani ambacho ni Rasimu ya katiba.Achana na utapeli. Unaandika too much word, context zero. Website za contents za serikali zinaishia na .tz
Katika hali ya kawaida mtu mwenye akili nzuri angeelwa kwa uamzi huo kwamba Tundu Lissu hana hatia.
Mtu mwenye hatia, halafu uzuie mashahidi wake na umweke jela, uamzi wa aina hiyo utakuwa ni wa ajabu sana!
Tunakwambia umetapeliwa mzee. Mwambie mtaalamu wako akurudishie pesa ya miaka 6.Narudia tena mimi sio mtaalamu wa maswala ya website inayoundwa, mimi ninachojua ni kile kilicho ndani ya hiyo website, so hoja hapa sio website inaishia na .com, .tz, or .co.tz hoja hapa kile kilicho ndani ambacho ni Rasimu ya katiba.
Unachonishangaza ni kwamba nimekupa link hili usome kilicho ndani, wewe ukaanza kwamba website haijalipiwa, mala nimepigwa hela na developers, mala website sio .tz
Lakini mimi nikakujibu yote hayo kwamba Website hiyo itakuwa hapo miaka 7 kwamba kila mwaka mmoja itafanya auto-renew yenyewe ndio maana wamekuwekea mwisho wake ni 2027 yaani mwakani. Lakini bado ukaniita layman nikasema asante, mimi nadhani wewe kijana wangu ni mlopokaji sio mjuzi wa kweli, na pengine unafikilia humu wapo watu wenye lika lako, wadhifa wako na akili yako pekee.
Lakini pia nikutake kijana wangu kwa wema na upendo mkubwa usome kile nilichokupatia na kama utakuwa na hoja, itaji la ufafanuzi au unaitaji kukosoa kwa hoja basi nakukaribisha hapa
Sasa sijui litapeba uzito gani kuonyesha kwamba serikali haifanyi matendo ya uovu yaliyoelezwa kwa mtiririko mzuri kabisa leo mahakamani.Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
Hayo malalamiko hayana tija kwenye ushahidi wa Lissu. Hizo ni hoja za kisiasa tu.Sasa sijui litapeba uzito gani kuonyesha kwamba serikali haifanyi matendo ya uovu yaliyoelezwa kwa mtiririko mzuri kabisa leo mahakamani.
Hao mawakili wa serikali hawawezi kufuta malalamiko ya mama yake Polepole na ndugu zake; na wala hayawezi kuwafanya waTanzania wasiamini kutekwa kwa Polepole.
Hiyo picha ya pili: kilichomo moyoni mwake wakati huo; sijui kama ndicho kilichomo moyoni mwake wakati huu!
Hivi hata hujistukii tu unavyohangaika mwenyewe? Kuna mtu yeyote ambaye bado anasoma maandishi yako humu?Hayo malalamiko hayana tija kwenye ushahidi wa Lissu. Hizo ni hoja za kisiasa tu.
Kuhusu kwamba nimetapeliwa naomba niseme kwamba acha nijionee mwenyewe kuhusu hilo.Tunakwambia umetapeliwa mzee. Mwambie mtaalamu wako akurudishie pesa ya miaka 6.
Also hizo contents hazina ubunifu wowote maana nyaraka ulizoziweka zipo kwenye public websites za Serikali. Hakuna kipya hapo mzee
Ahaa kumbe wewe ndo pumbavu mwenyewe!...Tunatofautiana,ila Wewe una PhD ya upumbavu,Bora ungekuwa mjinga!
WataendaSidhani kama watakuja
Hata wewe umesomaHivi hata hujistukii tu unavyohangaika mwenyewe? Kuna mtu yeyote ambaye bado anasoma maandishi yako humu?
Wewe kama husomi wengine wanasoma. Acha kujiona kama Mungu wakati wewe ni jambaziHivi hata hujistukii tu unavyohangaika mwenyewe? Kuna mtu yeyote ambaye bado anasoma maandishi yako humu?