Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kuhusu utekaji mwingine unaoufahamu.

Heche: Waheshimiwa Majaji, kuna tukio la kutekwa kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole. Alikuwa Mbunge, Balozi na Mkuu wa Wilaya (DC).

Kuna pia matukio ya kutekwa kwa Mdude Nyangali, mwanachama wa CHADEMA kutoka Mbozi, ambaye mpaka sasa haijulikani alipo tangu mwaka 2024.

Pia kuna Deudedith Soka, Mwenyekiti wa Vijana wa CHADEMA kutoka Temeke.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
 
Vipi Katuga kuhusu kumwuliza Mnyika kuhusu pesa za tone tone.?
 
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 10.

Lissu: Ni kiongozi gani, nikiwa hospitalini, alikuja Nairobi?

Heche: Makamu wa Rais Samia alienda Nairobi na baadaye Nairobi Hospital, alipokuwa Tundu Lissu.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kama Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi walinitembelea hospitalini nilipokuwa nimelazwa, pamoja na mke wake.

Heche: Hilo nalikumbuka, na lilitangazwa hadharani kuwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mkewe walimtembelea Nairobi.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kama Mawaziri Wakuu Fredrick Sumaye, Joseph Sinde Warioba na Edward Ngoyai Lowassa walinitembelea Nairobi.

Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu ya Fredrick Sumaye na Lowassa kumtembelea hospitalini, ila sina kumbukumbu ya Warioba.

Lissu: Una kumbukumbu ya Jaji Mstaafu Othman Chande kunitembelea hospitalini?

Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu ya Jaji Mstaafu Othman Chande kumtembelea hospitalini.

Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, kwa ufahamu wako, waeleze kama Pindi Chana alinitembelea Nairobi Hospital.

Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu kuwa Pindi Chana alimtembelea Nairobi Hospital.

Lissu: Shahidi, nimekuuliza swali hili kwa sababu nataka nikuulize swali hili. Wewe ulienda mara ngapi na umetumia muda gani?

Heche: Waheshimiwa Majaji, nimeenda mara nyingi na, kwa kukadiria muda, nimekaa kama mwezi mmoja na nusu.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
IMG_4606.jpeg
IMG_4607.jpeg
 
Wewe leta updates. Kama umeshindwa acha sisi tutaleta. Usijipe umuhimu na Umungu mtu hapa. Idiot
Utaleta updates wakati ww ni kibaraka wa serekali hii ya majizi na wauaji, waliogomea hiyo kesi kuwa mubashara? Kama sio hawa wasamaria wema saa hii mngekuwa mnatulisha ule upuuzi wa kura 31m bila wapiga kura hao vituoni.
 
Wewe Kibaraka wa mashonga? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
Sawa na lissu kaliweka makusudi hili liwe sehemu ya ushaidi wake kwamba CCM na Mafisadi wake awachagui mtu wa chama fulani, yoyote anaeonyesha kuwapinga wanamuangamiza, hii itakuwa big turning point kwamba serikali hii ni onevu, nyonyaji na yenye kuumiza watu wake kwa kutofautiana kwa maoni na hoja.

Kiufupi mimi kwa maoni yangu naona LISSU anataka kuiqmbia mahakama kwa ushaidi wa hali za kila siku za maisha ya taifa kisha kuiambia mahakama kwamba "Kesi hii ni ya kisiasa, kiuonevu na yenye lengo la kutodhoofisha sisi wapinzani", so ushaidi huu unaonekana kwa macho ya nyama sio ndoto.

Binafsi nitaona maajabu kama mahakama itatupilia mbali ushaidi wa hawa wote waliopotea, kutekwa na kesi za kuzusha kisha kusema kwamba kesi hii ni ya kweli...
 
Back
Top Bottom