Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
We ni *****.kibaraka muhaini nywele zimeanza kuchange rangi, nuru na weight vimepungua,
hao walokole feki wanafiki wanafanyaje hapo mahakamani? wanaleta drama za kunena kwa lugha hadi mahakamani?
Pesa wanazotumia hapo na muda wangeenda kuweka barabara au kujenga madarasa ,Maabara mashuleni.Kuliko hicho wanachofanya..Mimi...shahidi wa Ubungo kibanguπππGalaxy SonyKwa kweli nimeshangaa pia, hivi hata hao wanaokaa kupanga njama za mashahidi fake hawako timamu kichwani??
Kwa ushahidi huu, hata mie sina taaluma ya sheria, ila hapa najua ni uongoo tena wa wazi kabisaa.
ππππππ hii case ina futuhi kuliko. LolPesa wanazotumia hapo na muda wangeenda kuweka barabara au kujenga madarasa ,Maabara mashuleni.Kuliko hicho wanachofanya..Mimi...shahidi wa Ubungo kibanguπππGalaxy Sony
Hapa tu tayari script ishawwka motoP5: Facebook, WhatsApp na Youtube, nilikuwa naperuzi kwa kutumia simu yangu aina ya smartphone sonny experior Galaxy
Kubwa sanaDuniani tunayo dhiki
Vuta subira kidogo, "futuhi" halisi unaweza kukutana nayo baada ya majaji hao kutoa uamzi wa kipekee sana licha ya hizi futuhi nyembamba tunazozishhudia hivi sasa.ππππππ hii case ina futuhi kuliko. Lol
tuliza mihemko mamlukiWe ni *****.
Wameamua ,watu waseme iwe nongwa.Akili zetu tusamehewe tu..dereva boda boda wapo wengi ni huyo tu kapata ujasiri?Mara muuza chips...ππππππ hii case ina futuhi kuliko. Lol
Tanzania ina watu wa ajabu sana aiseeWatu wanakushangaa wewe unayepost picha za vinyesi mitandaoni ati mawe ni Gt.
View attachment 3544959
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya, Jaji K.S Kamana na Jaji W.M Chuma leo limebatilisha Kifungu cha 194 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) baada ya kubaini kuwa kifungu hicho kinampa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) mamlaka makubwa na ya kipekee ya kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa ya kuhoji, jambo linalokiuka haki ya kusikilizwa kwa pande zote mbili.
Mahakama imetoa muda wa miezi 12 kwa Serikali na AG kufanya marekebisho ya sheria hiyo
Kundi la mawakili 13, likiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, liliwakilisha mleta maombi, Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe, katika kesi ya kikatiba namba 22482/2025 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na DPP.
Miongoni mwa hoja zilizowasilishwa ni kuwa sheria hiyo inawaficha mashahidi badala ya kuwalinda, hali inayotoa mwanya kwa mtu mmoja kutoa ushahidi mara nyingi kwa kutumia majina tofauti.
πππππWameamua ,watu waseme iwe nongwa.Akili zetu tusamehewe tu..dereva boda boda wapo wengi ni huyo tu kapata ujasiri?Mara muuza chips...
Makubwaaaa! ππππVuta subira kidogo, "futuhi" halisi unaweza kukutana nayo baada ya majaji hao kutoa uamzi wa kipekee sana licha ya hizi futuhi nyembamba tunazozishhudia hivi sasa.
Nchi yetu imekuwa na sifa za kipekee sana miaka hii. Unalofikiri haliwezekani, linafanywa kuwezekana kivyepesi kabisa!