Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika

Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika

Mahakama haijaona haja ya kutambua jina la shahidi wa siri, wala kujua historia yake na uhusika wake wa hiyo kesi! Nasubiri kuona watamuapishaje! Pia nawaza ikiwa Mahakama itamuitaji huko mbeleni itampaje wito ikiwa hawajui jina lake wala historia yake anakotoka nk!

Bado pia nawaza ikiwa mshtakiwa ambae anajutetea ye mwenyewe kanyimwa fursa ya kumuona wala kujua majina etc, akiwa anamfanyia cross examination atajuaje kama huyu anaeongea ni yeye mwenyewe kweli?
MaCCM ni maquma sana. Inawezekana shahidi ni huyohuyo mmoja anabadilisha sauti na kupewa majibu ya kusoma huko mafichoni. Nchi hii ina mitawala ya kishetani sana.
 
72592915_605.jpg
 
Nje ya mahakama najua majaji wana hasira na hii kesi wanaona niupotevu waz muda na mambo ya hovyo
 
Back
Top Bottom