Ni Mungu alimleta JPM, kisha akamtwaa, ni Mungu amemleta Samia, na ni yeye ameiruhusu hii mitano tena. Hao binadamu wenye nguvu ya kifedha, ni Mungu amewapa nguvu hiyo.Tukubali Comrade. Na binadamu wenye nguvu ya kifedha na maarifa; pia huwa wanawaweka watu wao kuongoza kwa maslahi yao binafsi. Na hiki ndicho kitu tunacho kishuhudia nchini.
Hapa sidhani kama Mungu anahusika.
Wewe tunajua unachoogopa, ni kwamba unajulikana, so lazima utoe kauli kama hizi, lkn pia siku hizi kuna kale ka unafki ka kutafuta teuzi, huenda inakupelekea kuwa upande wa incompetent leaders. But, I'm 100% sure kwenye ile a/c yako nyingine huandiki mashudu kama haya.Mkuu Shemeji Tate Tate Mkuu , ukae ukijua, huyo unayemuita king'ang'anizi, ndie chaguo la Mungu kwa Tanzania, maana ni Mungu pekee ndiye huweka tawala zote za mataifa. Thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
P
Mm ni mwana CCM by nature, lkn kwa huu uhuni unaoendelea nchini siwezi ku support, siwezi kuwa upinzani mana mpk sasa Tanzania hakuna upinzani wa kueleweka, bado "malaya wa kisiasa" ni wengi sn, lkn pia si support uhuni unaofanywa na CCM.They know what they are doing. Kiukweli Mama samia ndiyo atabakia kwenye historia kama Rais aliyewahi kuchukiwa na wananchi walio wengi tangu nchi hii ipate Uhuru. Na sababu ziko wazi kabisa;
1. Kuuza uza hovyo raslimali za nchi kwa Waarabu.
2. Kuruhusu kundi la Wahuni kuwa watu wake wa karibu.
3. Kuwaonea wapinzani wa CHADEMA kwa kuwafunga hovyo, kuwazuia bila ya sababu kusafiri nje ya nchi, kuwateka na kuwaua, nk
4. Kuruhusu vitendo vya utekaji na mauaji kutamalaki nchini.
5. Kuiendesha nchi kama mali yake yeye, familia yake na marafiki zake.
6. Kutumia fedha za Tanganyika kujenga miundombinu ya Zanzibar.
7. Kuwabeba ndugu zake Wazanzibari kwenye nafasi nyingi za madaraka na zile nyeti, nchini.
8.
9.
10.
This is the kind of movies you can understand without watching them in their entirety!Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025
Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo ilitakiwa wamlete shahidi wa Nne (4) aanze kutoa ushahidi wake baada ya yule wa Tatu (3) kukamilisha hapo jana, lakini wameshindwa kuleta shahidi hii leo kutokana na kwamba wameshindwa kumsafirisha kwa wakati na mashahidi wao hitajika nje ya Dar es Salaam (wapo mikoani)
Lissu alionekana kupinga vikali hoja hiyo akidai kwamba hiyo ni janjajanja ya Jamhuri kutaka aendelee kukaa gerezani hadi Uchaguzi Mkuu umalizike hivyo kuiomba Mahakama kuilazimisha Jamhuri kuendelea na kesi leo au Mahakama impatie dhamana aende nyumbani
Katika uamuzi wake, Mahakama kupitia jopo la Mawakili watatu (3) wanaosikiliza kesi hiyo wamesema kesi inayomkabili haina dhamana, na kwamba suala la kuomba hairisho kutokana na changamoto la mashahidi linakubalika kisheria na ikizingatiwa kuwa tangu kesi hiyo ianze hakuna siku ambayo Jamhuri imeshindwa kumleta shahidi
Hivyo kesi hiyo imehairishwa sasa hadi Novemba 03.2025 ambapo shahidi wa Nne (4) wa Jamhuri ataanza kutoa ushahidi wake.
Soma Pia: Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu
Wenye malezi ni hao wanateka na kuua watu wasio na hatia? Wenye malezi ndio hao wanaofisadi nchi huku asilimia kubwa ya maisha ya watanzania ni magumu huku wao wakifanya ufuska ... Narudia ni mikundu ...******** niambie kingineMkitekwa mnalalamika! Huna malezi!
Usisahau hawa nao ni mateka tu kama tulivyo sisi sote ndani ya nchi hii kwa sasa.Leo majaji wamefanya kazi kwa maelekezo, purely maelekezo. Mungu awalaami wafe na ajali na huyo aliyewatuma
Hakuna mungu kichaa wa kumpangia mtu mwovu kama huyu . Huyu ni zao la shetani, siyo mungu.Ni sahihi kabisa kiimani ya dini kusema Samia ni chaguo la Mungu,,,kwa imani ya dini miaka mitano iliyopita hata yeye sidhani kama alijua atakuja kuwa rais wa nchi, Huyo ambae watu mnaedhani ndie mtu sahihi,,,kama Mungu hajampangia kuwa rais hawezi kuwa.
Interesting observation!Kesi ya Lissu ni kama campaign kabisa, yaani baada ya kumaliza kesi anakua kama kashinda Uchaguzi na kamfanya Kizimkazi ushungi kuonekana kama Kinyago kabisa kilichokalia kiti cha Rais
Hao unao wasema walitusiwa; wangeweza kurudi leo hii na kuona hali halisi ya nchi waliyoiongoza na kuipenda sana; watampa tuzo huyo unayesema aliwatusi kwa kupambana na hiki kinyago walicho kiachia nchi kiivuruge kiasi hiki.Write your reply...hadi aite maji mma shenzi kabisa sina huruma kwa yeyote alie wah mtusi nyerere na jpm
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025
Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo ilitakiwa wamlete shahidi wa Nne (4) aanze kutoa ushahidi wake baada ya yule wa Tatu (3) kukamilisha hapo jana, lakini wameshindwa kuleta shahidi hii leo kutokana na kwamba wameshindwa kumsafirisha kwa wakati na mashahidi wao hitajika nje ya Dar es Salaam (wapo mikoani)
Lissu alionekana kupinga vikali hoja hiyo akidai kwamba hiyo ni janjajanja ya Jamhuri kutaka aendelee kukaa gerezani hadi Uchaguzi Mkuu umalizike hivyo kuiomba Mahakama kuilazimisha Jamhuri kuendelea na kesi leo au Mahakama impatie dhamana aende nyumbani
Katika uamuzi wake, Mahakama kupitia jopo la Mawakili watatu (3) wanaosikiliza kesi hiyo wamesema kesi inayomkabili haina dhamana, na kwamba suala la kuomba hairisho kutokana na changamoto la mashahidi linakubalika kisheria na ikizingatiwa kuwa tangu kesi hiyo ianze hakuna siku ambayo Jamhuri imeshindwa kumleta shahidi
Hivyo kesi hiyo imehairishwa sasa hadi Novemba 03.2025 ambapo shahidi wa Nne (4) wa Jamhuri ataanza kutoa ushahidi wake.
Soma Pia: Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu
Well said mkuu wangu, Samia ndiye Rais wa hovyo kabisa kuwahi kutawala nchii tangu tupate Uhuru. Lawama zote kwa CCM, hivi kweli wamekosa candidate mwanaume Mtanganyika hadi watuwekee mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar awe Rais wa Tanganyika yetu?They know what they are doing. Kiukweli Mama samia ndiyo atabakia kwenye historia kama Rais aliyewahi kuchukiwa na wananchi walio wengi tangu nchi hii ipate Uhuru. Na sababu ziko wazi kabisa;