GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ujuaji,ubishi,kuropoka,kudharau seikali nao wanatambaa nae humohumo.
 
Iko wazi kivipi kwani Mahabusu ni Lisuu peke yake? Kuna mahabusu wengine kesi zao pia zina haki ya kusikilizwa
 
Bro Ulitaka Wapange wiki hii ili Wananchi waanzie maandamano pale mahakaman?.

Wiki hii shughul nying za mkusanyiko ziwe Binafsi au Serikal zitahairishwa.
 
Jamhuri inawezekana ikaja ikasema haina interest na hiyo kesi tena,tarehe tajwa hapo juu
 
Hajapokea maelekezo hawezi jiamulia, watoa maelekezo wako busy approach 29 october.. Hawaokoti simu.

Labda..

November 2 ataambiwa cha kufanya, Clown 🤡
 
Jamhuri inawezekana ikaja ikasema haina interest na hiyo kesi tena,tarehe tajwa hapo juu
Kesi ya uhaini itafutwa na ataachiliwa ila atakamatwa tena siku hiyi hiyo kwenye kesi nyingne ambayo itakuwa na dhamana.

Lengo ni kumsumbua sumbua na kumpotezea muda.
 
Back
Top Bottom