GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tukubali Comrade. Na binadamu wenye nguvu ya kifedha na maarifa; pia huwa wanawaweka watu wao kuongoza kwa maslahi yao binafsi. Na hiki ndicho kitu tunacho kishuhudia nchini.

Hapa sidhani kama Mungu anahusika.
Ni Mungu alimleta JPM, kisha akamtwaa, ni Mungu amemleta Samia, na ni yeye ameiruhusu hii mitano tena. Hao binadamu wenye nguvu ya kifedha, ni Mungu amewapa nguvu hiyo.
P
 
CCM inakwenda kufa kifo kibaya sn mana inaendeshwa kizamani mnooo, mbinu za enzi za Nyerere bado wanazitumia mpk leo, wanafanya vitu kiasi kwamba hata mtoto wa miaka 5 anaelewa. Unakuta eti wanaagiza jeshi litoe taarifa kwamba kutakuwa na mazoezi ya kijeshi tarehe 29, mambo ya kitoto sn, kama nchi inaendeshwa na watu wa design hii tusahau maendeleo.
 
Wewe tunajua unachoogopa, ni kwamba unajulikana, so lazima utoe kauli kama hizi, lkn pia siku hizi kuna kale ka unafki ka kutafuta teuzi, huenda inakupelekea kuwa upande wa incompetent leaders. But, I'm 100% sure kwenye ile a/c yako nyingine huandiki mashudu kama haya.
 
Mm ni mwana CCM by nature, lkn kwa huu uhuni unaoendelea nchini siwezi ku support, siwezi kuwa upinzani mana mpk sasa Tanzania hakuna upinzani wa kueleweka, bado "malaya wa kisiasa" ni wengi sn, lkn pia si support uhuni unaofanywa na CCM.
 
Je Mungu hutuchagulia watawala waovu?

"Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu."
Waroma.13.1.BHN


Hapana
.

"Walijiwekea wafalme bila kibali changu, walijiteulia viongozi ambao sikuwatambua. Wamejitengenezea miungu ya fedha na dhahabu, jambo ambalo litawaangamiza."
Hosea.8.4.BHN

"Lakini wao waliposema, “Tupe mfalme wa kutuongoza,” hili lilimchukiza Samweli, hivyo akamwomba Mwenyezi Mungu.

Naye Mwenyezi Mungu akamwambia: “Sikiliza yale yote watu wanakuambia. Si wewe ambaye wamekukataa, bali wamenikataa mimi kuwa mfalme wao."

1samwel.8.6-7.NENO


Watu huchagua wenyewe watawala waovu, naye MUNGU huwaachia, kwakuwa yeye ndiye mwenye mamlaka kamili / mwenye enzi kuu.

"Wakati huo, nyinyi mtalalamika kwa sababu ya mfalme wenu ambaye mmejichagulia nyinyi wenyewe. Lakini Mwenyezi-Mungu hatawajibu."
1samwel.8.18.BHN


MUNGU atamshusha mtawala muovu atakapoona mwenyewe inafaa.

"Yuko wapi sasa mfalme wenu awaokoe? Wako wapi wale wakuu wenu wawalinde? Nyinyi ndio mlioomba: ‘Tupatie mfalme na wakuu watutawale.’

Kwa hasira yangu mimi nikawapa mfalme, kisha nikamwondoa kwa ghadhabu yangu."

Hosea.13.10-11.BHN


"akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake.

Yeye hubadili nyakati na majira; huwaweka wafalme na kuwaondoa....."

Dan.2.20-21.NENO


Je Samia Suluhu ni chaguo la MUNGU?



Kwa nguvu zote nasema HAPANA!

Lakini watu wenyewe wakimchagua, MUNGU atampa mamlaka. Na cha moto watakiona...

If King Samia comes back to power, personally naona ni merging of prophecy. Everything falling in place all over the world for the antichrist to be revealed on earth.

Oktoba 29 natoka kuonyesha personally I did not choose this evil King.
 
This is the kind of movies you can understand without watching them in their entirety!

Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kwanini kinafanyika kinachofanyika na mwisho wa hii kesi utakuwaje.

Ahsante Mungu kwa kutokunifanya kuwa sehemu ya egregious injustice na ubatili wa aina hii.
 
Mkitekwa mnalalamika! Huna malezi!
Wenye malezi ni hao wanateka na kuua watu wasio na hatia? Wenye malezi ndio hao wanaofisadi nchi huku asilimia kubwa ya maisha ya watanzania ni magumu huku wao wakifanya ufuska ... Narudia ni mikundu ...******** niambie kingine
 
Ni sahihi kabisa kiimani ya dini kusema Samia ni chaguo la Mungu,,,kwa imani ya dini miaka mitano iliyopita hata yeye sidhani kama alijua atakuja kuwa rais wa nchi, Huyo ambae watu mnaedhani ndie mtu sahihi,,,kama Mungu hajampangia kuwa rais hawezi kuwa.
 
Leo majaji wamefanya kazi kwa maelekezo, purely maelekezo. Mungu awalaami wafe na ajali na huyo aliyewatuma
Usisahau hawa nao ni mateka tu kama tulivyo sisi sote ndani ya nchi hii kwa sasa.
Kwa hiyo twende taratibu kabla ya kuanza kutupiana lawama. Angalau hadi sasa wameonyesha kuwa mateka ambao wanazo fahamu za kutambua umateka wao; wakipata mwanya wataondokana na hali hiyo kama sote tunavyo tazamia kuondokana nayo., hiyo Oktoba 29.
 
Hakuna mungu kichaa wa kumpangia mtu mwovu kama huyu . Huyu ni zao la shetani, siyo mungu.
 
Write your reply...hadi aite maji mma shenzi kabisa sina huruma kwa yeyote alie wah mtusi nyerere na jpm
Hao unao wasema walitusiwa; wangeweza kurudi leo hii na kuona hali halisi ya nchi waliyoiongoza na kuipenda sana; watampa tuzo huyo unayesema aliwatusi kwa kupambana na hiki kinyago walicho kiachia nchi kiivuruge kiasi hiki.
 

Sasa kwaji huuo shahidi anakuja kwa miguu yoka huko mikoani? Kwa nini asiletwe Jumatatu?
 
Lissu kachoka tunaomba jaji ahairishe kesi hadi tarehe 6 mwezi wa kwanza 2026
 
Well said mkuu wangu, Samia ndiye Rais wa hovyo kabisa kuwahi kutawala nchii tangu tupate Uhuru. Lawama zote kwa CCM, hivi kweli wamekosa candidate mwanaume Mtanganyika hadi watuwekee mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar awe Rais wa Tanganyika yetu?
 
Binafsi yangu nimekuja kujionea kwamba hakuna kitu kibaya kama kuishi kinafiki duniaani, yaani hautaki kitu fulani kutoka moyoni lakini unalazimishwa kupretend kama uko sawa tu na unakikubali tu Aaah Big No sana Asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…