Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Status
Not open for further replies.
FMES Unaweza kuona hapo juu maelezo ya Mkandara, ccm waliizima ile issue ya Chenge kule bungeni na inawezekana ule unga unga ulikuwa ni mifupa ya albino kwani ukweli haujawekwa wazi na kitendo cha sakata lile kwisha labda kilihusishwa na uwezo wa kufanya kazi wa dawa hizo za kichawi...Ikapelekea viungo hivyo vya albino kuwa dili na ndio maana wenye kuhitaji viungo hivyo ni watu wenye uwezo ama madaraka. Kama issue ya unga unga ingeshughulikiwa ipasavyo basi labda albino wasingekumbwa na dhahma hii na waziri mkuu asingekuwa na haja ya kulia lia.

- Hili sina clue kabisa ya unga unga wa Albino? What is that?

Hata hivyo pointi yangu inarudi pale pale, wewe na Mkandara mlisema JK anafanya kweli na bado unasisitiza kuwa thats the case,kwasababu mlijuwa kuwa sheria ni mbovu kama alivyosema Mkandara hapo juu na huku mkimsifia Mh Rais kwa kuwafikisha watuhumiwa hao kunako sheria mbovu.

- Unachanganya mambo mengi sana ambayo hayahusiani kabisa, tatizo sio sheria zetu, tatizo ni mahakimu, sheria iko wazi kwmaba zimapotea Billioni 200, watuhumiwa lazima waweke nusu ya hela hizo katika dhamana, sasa kwa nini hakimu alikubali millioni 800?

Sasa unasema hili ni tatizo la rais wa jamhuri? Bado sikuelewi?
 
- Hapana, mahakama ni moja ya vyombo vitatu muhimu vya serikali, ambavyo vinatakiwa ku-function independent of each other for the good of the people, sasa kama hili halifanyiki Tanzania, ni muhimu kujua sababu na kujaribu kurekebisha sababu,

Lakini ya kwamba rais wa jamhuri ahusike tena na mahubusu waliko mikononi mwa mahakama, itakuwa ni more than Banana Republic!

Mkuu lakini ukiangalia kwa undani utaona kuwa de facto that is not the case, serikali kuu ina nguvu sana. Kuna mifano mingi tu ya serikali kukataa uamuzi wa mahakama(Kumbuka kesi za Mtikila na mgombea binafsi), ku-ignore mapendekezo na maelekezo ya bunge, na ukiagalia kwa undani utaona kuwa bunge ni kama baraza la maongezi tu au printer ya serikali (ingawa mwaka jana na mwaka juzi lilionekana kurudi kwenye akili zake sina hakika kama itakuwa permanent au vipi)
 
Nope nilikuwa nabeba zege!

Ok let's now get back to the topic. Kuhusu kupoliticize issues nadhani ni kaugonjwa ka viongozi wa kitanzania. And I especially smell a rat hasa pale uchaguzi unapokuwa ukikaribia. My point is and still is........ Not necessarily kwamba JK anahusika ( Well I am not ruling out completely maana Bongo kila kitu kinawezekana) Lakini katika jamii iliyomomonyoka maadili kiasi hiki je Liyumba hawezi kucheza faulo na hakimu pale Kisutu akatoka kwa staili aliyotokea??

Hapo unaweza kuona kuwa ccm inatakiwa kuwekwa benchi,kwasababu hii familia yao sasa imekuwa kubwa sana na inadhani ina haki ya kufanya inavyotaka na kuanza kusingiziana...Oooh ni mjomba, hapana ni shangazi,lakini kwasababu ni familia,basi wanaendelea na mambo kama kawa.
Tatizo liko hapo na inabidi wabongo wajuwe hilo,hakuna mtu mwenye kuhodhi madaraka ya nchi na kufanya maamuzi kama anaendesha familia yake.
Mimi naamini lazima kuna wana UWT waliokuwa wana majukumu ya kumtail huyo mtu na kwasababu maamuzi haya na uzembe huu umetokea chini ya JK's watch,then yuko liable na kesi zote hzizi ni wizi mtupu kwani ni pesa za ufisadi na mahakimu wamepewa ulaji.
Ila sidhani kama watanzania ni wajinga to this extent, lets wait and see watampigia nani kura mwaka kesho.
 
Taarifa za uhakika za hivi punde kutoka mahakamani ni kuwa AL hakufika:

Uamuzi ni kama ifuatavyo
1. Kesi imeahirishwa hadi tarehe 24 ambayo ndiyo ilipangwa awali kwa yeye kufika mahakamani
2. Hati ya kukamatwa wadhamini wake imefutwa. Hivyo watatakiwa tu kuripoti hapa mahakamani siku ya tarehe 24. Iwapo AL hatafika siku hiyo ndipo wanaweza kukamatwa. wameachiwa na wamekwenda makwao.

Habari ndo hiyo

na huyo hakimu Msongo hajaeleza ni kwa nini alitoa dhamana bila ya masharti kutimizwa?
 
Oh yes Sahib You can tell a lot on when and what people are thinking kutokana na body language......I dont know that part of expertise but its easy to read people kutokana na body language.

Kelly dear uko juu,mi nilihudhuria mahakamani siku moja na kitu cha kwanza kilichopita akilini ni huyu jamaa akipewa dhamana atatoroka,macho yake yalikua hayatuli halafu ukimwangalia anakwepesha haraka 'obvious flight risk'.Tukiacha yote ilishindikana hata kuweka askari wawili getini kwake wakague magari yote yanayoingia na kutoka?
 
Kuna mifano mingi tu ya serikali kukataa uamuzi wa mahakama(Kumbuka kesi za Mtikila na mgombea binafsi),

- Mkuu hili swali la hoja ya Mtikila nilimuuliza waziri wa sheria straight up face to face, akanijibu kwamba waandishi hawasemi ukweli, sheria iko clear kuwa ni bunge tu ndilo linaweza kutengua au kubadili sheria sio mahakama, akasema kwamba serikali baada ya ile hukumu, walia-appeal, lakini mpaka leo mahakimu wanaikwepa hii kesi kwa sababu ya kujua walichemsha.

ku-ignore mapendekezo na maelekezo ya bunge, na ukiagalia kwa undani utaona kuwa bunge ni kama baraza la maongezi tu au printer ya serikali (ingawa mwaka jana na mwaka juzi lilionekana kurudi kwenye akili zake sina hakika kama itakuwa permanent au vipi)

- Mkuu hapa kama sikosei unaongelea mapungufu ya katiba yetu, na uoga wa wabunge either kutokujua power waliyonayo ksiheria au kuwa mafisadi wasiotaka kurekebisha anything.
 
- Hili sina clue kabisa ya unga unga wa Albino? What is that?

- Unachanganya mambo mengi sana ambayo hayahusiani kabisa, tatizo sio sheria zetu, tatizo ni mahakimu, sheria iko wazi kwmaba zimapotea Billioni 200, watuhumiwa lazima waweke nusu ya hela hizo katika dhamana, sasa kwa nini hakimu alikubali millioni 800?

Sasa unasema hili ni tatizo la rais wa jamhuri? Bado sikuelewi?

Mkandara alisema hakutegemea lolote na kwamba viuongo vya binadamu vinatumika kichawi ili kuzima kesi hizo,sasa albino si binadamu?
Niliposema kuhusu unga unga wa bungeni nilimaanisha kuwa issue hizi za ufisadi hususan Chenge kutofikishwa mahakani nk na kutowajibishwa kisiasa ie ubunge na ujumbe wa NEC basi usije kushangaa kuwa wana ccm na viongozi wengi walichukulia kuwa ni unga unga ulifanya kazi. Sasa huko usukumani viungo vya albini ni dili na hakuna aliyeweka wazi ule unga unga ilikuwa ni nini..Wengine walishuku mifupa iliyosagwa,sasa mimi nikishuku ni mifupa ya albino iliyosagwa utabisha?
Kwahiyo haya matatizo si yanaendana kwenye mjadala huu?
Nchi haiwezi kuongozwa jinsi inavyoongozwa sasa...This is unacceptable, kaserikali kadogo sana hako kucheza na watu kiasi hicho,serikali kubwa na zenye nguvu ziko liable kwa wananchi ndo iwe hilo jimbo la Tanzania?
Wanatumia umasikini na ujinga wa wananchi kufanya madudu haya.
Ni rushwa tu,ndo kilichofanyika,keshakula pesa za kina Bush kwasababu ya mienendo ya kifisadi na sasa bakuli limegeuzwa China.
Wananchi waamke,nchi inaongozwa na genge la wahalifu.
 
JMushi1,
Wow! wait a minute mkuu wapi nimeandika kuhusiana na Chenge bungeni kuwa ni unga unga wa Albino?..
Mkuu jaribu kusoma maelezo ya mtu ukayatafsiri kama yalivyo badala ya kuongezea mawazo yako..
Mimi nilichoandika kinatokana na watuhumiwa kuwekewa dhamana ambayo ni haki yao lakini kutokana na MAZINGIRA yetu, kuna possibility mbili tatu za kutokea nikizingatia NDIVYO TULIVYO ktk imani za uchawi, kuhonga na kama ikishindikana kuingia mitini!..
Ni matokeo ambayo serikali yetu na vyombo vya usalama haijajifunza au wao wenyewe ni wahusika wakubwa..

Watu na mazingira ni somo ambalo tunahitaji sote tulifahamu vizuri sana kila tunapojaribu kujenga sera na utekelezaji wake..Kwa mfano mdogo tukianzia ngazi ya chini kabisa...hakuna kibaka anayeogopa askari Polisi isipokuwa wanaogopa wananchi zaidi. Kwa sababu anafahamu akikamatwa na askari mchezo utamalizika njiani kuelekea kituoni au utamalizwa kituoni penyewe..Bahati mbaya utafika mahakama na hapo bado kuna uwezekano wa kutoka au kesi kuchukua miaka 10 akiwa huru kwa dhamana isiyokuwa na mpaka..Ikishindikana kabisa ataingia mitini kuhamia mkoa mwingine akiwa chini ya dhamana iliyotolewa kisheria..

Sasa hali hii ipo ktk kila ngazi ya maisha na sikushangaa kabisa kusikia Liyumba kaingia mitini hasa baatya ya kusikia alikuwa akipelekeshwa kichini alipokuwa jela.. watu walikuwa na kisasi naye, toka Polisi, mahakama na hata wafungwa walitaka kumla akiwa hai!.... bahati dhamana hiyoo! sasa afanye nini?.
Hivyo, hili sio kosa la Kikwete ni kosa la watunzi wa sheria zetu na utekelezaji wake. Kikweyte hawezi kutunga sheria na kutoa amri ya utekelezaji wake kinyume cha sheria.. Ndio yalomkuta Pinda ktk issue ya Albino na wapo watu hadi leo wanaamini kabisa kuwa hatuhitaji zoezi la aina yoyote isipokuwa kutegemea vyombo vya sheria.. vyombo ambavyo wanafahamu vinafanya kazi kwa tender... mwenye kupanda dau zuri ndiye mshindi..
Tunarudi pale pale kuwa sisi NDIVYO TULIVYO...na huwezi kuamini niliposikia habari za Liyumba kutoroka nilijua tu watu wataanza kutafuta MCHAWI...baada yaa.. wakati wanafahamu fika kwamba system nzima ya sheria ni bomu.
 
We still have a walk to walk. Serikali inafahamu kuwa bunge ndio lina uwezo wa kutunga na kubadili sheria, na mahakama kuzitafsiri na kutekeleza. Lakini serikali yetu inapindisha kwa manufaa ya serikali kuu na members wake, na ku-bully bunge na mahakama. Nadhani baada ya issue ya ufisadi kwisha, kazi ya pili itakuwa ni katiba.
 
Mkandara alisema hakutegemea lolote na kwamba viuongo vya binadamu vinatumika kichawi ili kuzima kesi hizo,sasa albino si binadamu?

- Mkandara alisema inahusika vipi na wewe kumhusisha rais na kutoroka wka Liyumba akiwa under sheria?
 
Mkandara alisema hakutegemea lolote na kwamba viuongo vya binadamu vinatumika kichawi ili kuzima kesi hizo,sasa albino si binadamu?
FMES. hapa Jmushi1 aliniacha hoi yaani duh... taabu kweli kweli!..i
 
JMushi1,
Wow! wait a minute mkuu wapi nimeandika kuhusiana na Chenge bungeni kuwa ni unga unga wa Albino?..
Mkuu jaribu kusoma maelezo ya mtu ukayatafsiri kama yalivyo badala ya kuongezea mawazo yako..
Mimi nilichoandika kinatokana na watuhumiwa kuwekewa dhamana ambayo ni haki yao lakini kutokana na MAZINGIRA yetu, kuna possibility mbili tatu za kutokea nikizingatia NDIVYO TULIVYO ktk imani za uchawi, kuhonga na kama ikishindikana kuingia mitini!..
Ni matokeo ambayo serikali yetu na vyombo vya usalama haijajifunza au wao wenyewe ni wahusika wakubwa..

Watu na mazingira ni somo ambalo tunahitaji sote tulifahamu vizuri sana kila tunapojaribu kujenga sera na utekelezaji wake..Kwa mfano mdogo tukianzia ngazi ya chini kabisa...hakuna kibaka anayeogopa askari Polisi isipokuwa wanaogopa wananchi zaidi. Kwa sababu anafahamu akikamatwa na askari mchezo utamalizika njiani kuelekea kituoni au utamalizwa kituoni penyewe..Bahati mbaya utafika mahakama na hapo bado kuna uwezekano wa kutoka au kesi kuchukua miaka 10 akiwa huru kwa dhamana isiyokuwa na mpaka..Ikishindikana kabisa ataingia mitini kuhamia mkoa mwingine akiwa chini ya dhamana iliyotolewa kisheria..

Sasa hali hii ipo ktk kila ngazi ya maisha na sikushangaa kabisa kusikia Liyumba kaingia mitini hasa baatya ya kusikia alikuwa akipelekeshwa kichini alipokuwa jela.. watu walikuwa na kisasi naye, toka Polisi, mahakama na hata wafungwa walitaka kumla akiwa hai!.... bahati dhamana hiyoo! sasa afanye nini?.
Hivyo, hili sio kosa la Kikwete ni kosa la watunzi wa sheria zetu na utekelezaji wake. Kikweyte hawezi kutunga sheria na kutoa amri ya utekelezaji wake kinyume cha sheria.. Ndio yalomkuta Pinda ktk issue ya Albino na wapo watu hadi leo wanaamini kabisa kuwa hatuhitaji zoezi la aina yoyote isipokuwa kutegemea vyombo vya sheria.. vyombo ambavyo wanafahamu vinafanya kazi kwa tender... mwenye kupanda dau zuri ndiye mshindi..
Tunarudi pale pale kuwa sisi NDIVYO TULIVYO...na huwezi kuamini niliposikia habari za Liyumba kutoroka nilijua tu watu wataanza kutafuta MCHAWI...baada yaa.. wakati wanafahamu fika kwamba system nzima ya sheria ni bomu.

Mkandara nilitumia maelezo ya posting yako kuunganisha dots na at the same time kupinga maelezo yako kuwa JK na serikali yake hawafanyi usanii.
Kama mlijuwa JK kuwakimbizia hao watu huko kwenye sheria mbovu ili waweze kuwatolea huko then kwanini mlimsifu kuwa anafanya kweli? Mkandara you was # 1 kusema lets give him a benefit of doubt. Kuwachezea watanzania akili kiasi hiki si jambo jema hata kidogo...Ni sawa na ile michezo ya kitoto..Now you see it, now you dont.
 
unga unga wa Albino

Hii ni balaa kubwa kama ni kweli Chenge alikuwa na unga unga uliotokana na viungo vya Albino, nimechoka kabisa kabisa!! Una afikiri vifo vya hawa ndugu zetu vitaisha kweli? Mkemia wa serikali naye alikuja na matokeo ya kujua mwenyewe? Kama Mh spika bado anao huo unga uje ufanyiwe tafiti na wataalam wa nje CIA, FDA, Scotland yard etc etc...
 
- Mkandara alisema inahusika vipi na wewe kumhusisha rais na kutoroka wka Liyumba akiwa under sheria?

Kwamba rais alijuwa Liyumba atatoroshwa ndiyo maana akampeleka kunako sheria ili passport yake iliyopitwa na muda ikubalike kwani wananchi wamekomalia kichwa.
 
Habari zilizo patikana hivi punde ya kuwa Liyumba ametoroka na wadhamini wawekwa rumande baada ya kushindwa kumleta mshatiwa mahakamani!!!!

Mwanga wa milele umuangazie ee BWANA... astarehe kwa amani..!
 
Huyo mama hakimu akipata zile simulation za Guantanamo anaweza kuonyesha ushirikiano kwa maslahi ya umma!
 
Kwamba rais alijuwa Liyumba ataoroshwa ndiyo maana akampeleka kunako sheria ili passport yake iliyopitwa na muda ikubalike kwani wananchi wamekomalia kichwa.

- Angalau sasa ninakuelewa mkuu hoja yako ya msingi, nimekusikia mkuu na no more maswali tena maana umejibu kila kitu.

Thanxs!
 
Jana USIKU Liyumba alielezwa yuko mahala kwa mrembo, wakaenda jamaa saa nne usiku, wakakwama... lakini wanasema bado yuko nchini anatafuta nyaraka za kutimiza masharti!!!!!!
 
Hii ni balaa kubwa kama ni kweli Chenge alikuwa na unga unga uliotokana na viungo vya Albino, nimechoka kabisa kabisa!! Una afikiri vifo vya hawa ndugu zetu vitaisha kweli? Mkemia wa serikali naye alikuja na matokeo ya kujua mwenyewe? Kama Mh spika bado anao huo unga uje ufanyiwe tafiti na wataalam wa nje CIA, FDA, Scotland yard etc etc...

Viungo vya albino ni maarufu sana huko kanda ya ziwa ambako mkemia mkuu na Chenge wametokea?
Umeshasikia Chenge akitajwa tena?
Unga unga huo mwanzoni ulisemekana ni unga wa mifupa iliyosagwa,kwahiyo ni sera za ccm za uchawi na ufisadi na ndio maana maneno yanasambaa,umeshaskia Chenge akitajwa tena? Issue ya unga unga nayo kwisha licha ya kwamba wananchi waliambiwa ni unga unga sijui wa muhogo.
Ni system yote nzima mbovu,hakuna cha kusema eti JK anahusika vipi na vitendo hivi ambavyo havitupeleki mahali.
Kwahiyo mnaposema mlitegemea mambo yaende hivi kwasababu ndivyo tulivyo na huku mkimsifu JK kuwa kafanya kweli na wakati ni usanii mnakuwa mmekosea na kwahiyo kisiasa lazima ccm iwacost. JK alichukuwa maamuzi ya kisiasa zaidi na ndio maana mnaanza kumwondowa kwenye malalamiko haya as if yeye si mtawala wa nchi na hayakutokea chini ya utawala wake.
 
Jmunsh1,
Kama mlijuwa JK kuwakimbizia hao watu huko kwenye sheria mbovu ili waweze kuwatolea huko then kwanini mlimsifu kuwa anafanya kweli? Mkandara you was # 1 kusema lets give him a benefit of doubt. Kuwachezea watanzania akili kiasi hiki si jambo jema hata kidogo...Ni sawa na ile michezo ya kitoto..Now you see it, now you dont.
Mkuu ebu nambie wewe ulitaka Kikwete afanye nini na mafisadi?.. sikumbuki kama kuna mtu hata mmoja aliyetaka watu hawa wasifikishwe ktk sheria ila Kikwete afanye kitu tofauti!.. sikumbuki hata kuona maandishi yako wewe mwenyewe ukipnga watu hawa kufikishwa mahakamani..
Sasa tukirudi kwangu mimi issue nzima ya support kuhusiana na Kikwete, ni kukomesha Ufisadi na kitu gani anachotakiwa kufanya kama rais...Amekifanya na ndipo nilipompa support pamoja na kwamba ni sehemu ndogo sana ya zoezi zima.. lakini kulingana na record ya nchi yetu hakuna kionmgozi ambaye amewahi kufanya alofanya Kikwete - Kuwapeleka mawaziri na viongozi wa ngazi za juu ktk sheria...
Sasa upande wa sheria nilitegemea hawa watu wangeoza jela, mali zao kutaififishwa..Ni katika hatua ya kurudisha utawala bora lazima kuwepo na mwanzo lakini pia ni lazima tuwe makini na zoezi zima tukizingatia watu na mazingira yetu ambayo hujenga hulka au tamaduni..Bado nitamsifia Kikwete pamoja na kwamba sii kazi yake inapofikia maamuzi ya sheria.. as a fact ndio mapenzi ya raia wengi kuwa na rais anayefuata sheria wakati mimi nataka sana Kikwete awe Dikteta kuweza kukomesha kabisa MAFISADI... why?.. sababu ni ile ile - WATU na MAZINGIRA - Huwezi kufanikiwa kwa wadanganyika ambao walipuuza kuwa adui yetu mkubwa ni - UJINGA na UMASKINI .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom