William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
FMES Unaweza kuona hapo juu maelezo ya Mkandara, ccm waliizima ile issue ya Chenge kule bungeni na inawezekana ule unga unga ulikuwa ni mifupa ya albino kwani ukweli haujawekwa wazi na kitendo cha sakata lile kwisha labda kilihusishwa na uwezo wa kufanya kazi wa dawa hizo za kichawi...Ikapelekea viungo hivyo vya albino kuwa dili na ndio maana wenye kuhitaji viungo hivyo ni watu wenye uwezo ama madaraka. Kama issue ya unga unga ingeshughulikiwa ipasavyo basi labda albino wasingekumbwa na dhahma hii na waziri mkuu asingekuwa na haja ya kulia lia.
- Hili sina clue kabisa ya unga unga wa Albino? What is that?
Hata hivyo pointi yangu inarudi pale pale, wewe na Mkandara mlisema JK anafanya kweli na bado unasisitiza kuwa thats the case,kwasababu mlijuwa kuwa sheria ni mbovu kama alivyosema Mkandara hapo juu na huku mkimsifia Mh Rais kwa kuwafikisha watuhumiwa hao kunako sheria mbovu.
- Unachanganya mambo mengi sana ambayo hayahusiani kabisa, tatizo sio sheria zetu, tatizo ni mahakimu, sheria iko wazi kwmaba zimapotea Billioni 200, watuhumiwa lazima waweke nusu ya hela hizo katika dhamana, sasa kwa nini hakimu alikubali millioni 800?
Sasa unasema hili ni tatizo la rais wa jamhuri? Bado sikuelewi?