King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wadau wenye update kesi ya lulu leo 23/04/2012 watupe!!
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amehukumiwa kifungo cha maisha, kwishney
Ameachiwa huru hana kesi ya kujibu, vipi nasikia Kanumba amefufuliwa na Dr Manyaunyau?
Amechapwa viboko 10 vya masaburini then akaachiwa.over
Dah watu mna muda kweli hadi mnaanza kufuatilia kesi za watu
Dah watu mna muda kweli hadi mnaanza kufuatilia kesi za watu
Dah watu mna muda kweli hadi mnaanza kufuatilia kesi za watu
Maskini "Sege-dance" tena mpaka May 7,hatari