Kesi ya Lulu inaendeleaje?

Kesi ya Lulu inaendeleaje?

Ameachiwa huru hana kesi ya kujibu, vipi nasikia Kanumba amefufuliwa na Dr Manyaunyau?
 
Dah watu mna muda kweli hadi mnaanza kufuatilia kesi za watu
 
hee leo kavaaa nguo ndefu, si alisema anawashwa akivaa nguo ndefu, poleee Lulu umewashwaje leo
 
Maskini "Sege-dance" tena mpaka May 7,hatari
 
Kwa walioona picha ya Lulu akitoka mahakamani, sijui ni macho yangu au anaonekana mjamzito tena tumbo linaonyesha kabisa japo kavaa dira.
 
ELIZABETHMICHAELLULU6.jpg

ni kama nimeona tumbo kubwa fulani hivi,
atakuwa kapewa na maafande hukohuko.

Kwa walioona picha ya Lulu akitoka mahakamani, sijui ni macho yangu au anaonekana mjamzito tena tumbo linaonyesha kabisa japo kavaa dira.
 
Back
Top Bottom