balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hii ndo ilisabahisha kifo?Kwa ushahidi huu na utetezi wa lulu mwenyewe huyu mtoto anaweza kuepukana na adhabu ya jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo ilisabahisha kifo?Kwa ushahidi huu na utetezi wa lulu mwenyewe huyu mtoto anaweza kuepukana na adhabu ya jela
Kuna cheti cha daktari aliyewahi kumpima na akathibitisha hayo matatizo? Nilisrma jana hapa kwamba wanasumbua mahakama tuu,hakuna ushahidi wa maana hapo.Majaji wana akili sana.Kwa ushahidi huu na utetezi wa lulu mwenyewe huyu mtoto anaweza kuepukana na adhabu ya jela
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kumbe huyu mama ni mtoa Sumu??
Kumbe ndo maana padre wetu kapotea njia....
Hakuna ushahidi valid hapo.Nadhani ndo maana jana kibibie kilituma clip kinaserebuka! haya tuwaachie mahakama nao tuone watasemaje.
Huu ushahidi hauna credibility yoyote.Ana bahati hakuja mahakamani!angeulizwa swali moja tu"umesomea wapi na una uzoefu wa muda gani kutoa sumu?jibu ndio lingeondoa credibility ya ushahidi wake
Wangechukua hata kwa video conf toka Canada kuliko kusomaHuu ushahidi hauna credibility yoyote.
Nani mchaga kwenye kesiWachaga oyeeeee. solidarity forever
Mhhh
majaji hawaongozwi na hisia kama wews,wanaongozwa na ushahidi,sheria pamoja na reasoning zao kutokana na circumstances of the case,bila kusahau busara.Lulu hana kesi hapo..... Ningekuwa jaji hii kesi nisha ifutilia mbali,
[emoji29]kumbe ndo mana tuliitwa wabongo kumbe bongo zetu ni mbovu hazina uwezo wa kufikiria mambo ya msingi katika maisha yetu. Umekaa unawaza tu sumu ya nyoka[emoji35]Makubwa........ngoja nyoka akinipitia nitamtafuta specialist wa sumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anamtoa sumu kila siku...
Siyo kirahisi hivyo mkuu,kwani wangapi wanamatatizo hayo lakini bado wako hai? Lazima cause of death iwe established, matatizo yangeweza kuwa sababu kama angekutwa kafa kitandani,huyu alikufa baada ya kutokea ugomvi,mtuhumiwa ana kili kwamba kulikuwa na ugomvi baina yao.Manslaughter ipo pale pale ,,,Chape Kalangali alikutwa na hatia kwa kuwa tuu aliwasha AC ya gari na kulikuwa na mtoto mwenye matatizo ya pumu akafa.In Lulu's case ,What hastened death hata kama ikiwa kweli marehemu alikuwa na hayo matatizo.What was the cause of death?Sumu, upungufu wa hewa kwenye ubongo, akili kichoka, maumivu ya moyo. Fantastic. Lulu keshasave hapa.