Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Makubwa........ngoja nyoka akinipitia nitamtafuta specialist wa sumu
[emoji29]kumbe ndo mana tuliitwa wabongo kumbe bongo zetu ni mbovu hazina uwezo wa kufikiria mambo ya msingi katika maisha yetu. Umekaa unawaza tu sumu ya nyoka[emoji35]
 
Tatizo la mapombe ya kujifichaficha unakunywa mpaka mwili unakuwa na sumu,
sasa huyo mama atakuwa ni mtalaamu wa kufanya Detox.

Hi case mbona hakuna ushahidi wa postmortem,
ina maana marehemu hakupasuliwa ili kujua nini hasa kimemuua?
 
Sumu, upungufu wa hewa kwenye ubongo, akili kichoka, maumivu ya moyo. Fantastic. Lulu keshasave hapa.
Siyo kirahisi hivyo mkuu,kwani wangapi wanamatatizo hayo lakini bado wako hai? Lazima cause of death iwe established, matatizo yangeweza kuwa sababu kama angekutwa kafa kitandani,huyu alikufa baada ya kutokea ugomvi,mtuhumiwa ana kili kwamba kulikuwa na ugomvi baina yao.Manslaughter ipo pale pale ,,,Chape Kalangali alikutwa na hatia kwa kuwa tuu aliwasha AC ya gari na kulikuwa na mtoto mwenye matatizo ya pumu akafa.In Lulu's case ,What hastened death hata kama ikiwa kweli marehemu alikuwa na hayo matatizo.What was the cause of death?
 
Back
Top Bottom