Mbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.
Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
UpoTatizo la mapombe ya kujifichaficha unakunywa mpaka mwili unakuwa na sumu,
sasa huyo mama atakuwa ni mtalaamu wa kufanya Detox.
Hi case mbona hakuna ushahidi wa postmortem,
ina maana marehemu hakupasuliwa ili kujua nini hasa kimemuua?
Hii ishu inataftiwa namna ya kuzimwa, watu washachoka kupotezeana muda.Alafu Wakili akazuia msomaji wa maelezo asihojiwe sababu sio yeye aliyesema!Kibatala namuaminia ila hapa kama karusha ngumi ovyo kuleta ushahidi wa vipimo vya kitabibu vilivyofanywa na mtu asiyekua hata na certificate ya lab attendant
Soma vizuri, huyu ni defence witnessMbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.
Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmh watu mna maneno, eti mtoa sumuKumbe huyu mama ni mtoa Sumu??
Kumbe ndo maana padre wetu kapotea njia....
Mbona kama vile unatamani hiki kitoto kipewe no?,huyo mama kasajiliwa?