Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Mbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.

Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.

Kaletwa upande wa utetez ndio
 
Tatizo la mapombe ya kujifichaficha unakunywa mpaka mwili unakuwa na sumu,
sasa huyo mama atakuwa ni mtalaamu wa kufanya Detox.

Hi case mbona hakuna ushahidi wa postmortem,
ina maana marehemu hakupasuliwa ili kujua nini hasa kimemuua?
Upo
 
Alafu Wakili akazuia msomaji wa maelezo asihojiwe sababu sio yeye aliyesema!Kibatala namuaminia ila hapa kama karusha ngumi ovyo kuleta ushahidi wa vipimo vya kitabibu vilivyofanywa na mtu asiyekua hata na certificate ya lab attendant
Hii ishu inataftiwa namna ya kuzimwa, watu washachoka kupotezeana muda.
 
Mbona kama ushahidi uliosomwa upo mbali na Kesi hii? Nilitegemea ushahidi uwe ni wa daktari aliyefanya uchunguzi wa postmortem,ili aje na analysis yake kwa kutuambia kifo cha Kanumba hasa kilisababishwa na kitu gani....kisha mahakama ndio ihusishe ni kwa namna gani chanzo cha kifo hicho kinaweza kumuunganisha au kumuungua Lulu na kosa hili la kuua bila kukusudia.

Kwa maoni yangu huyu mama hakuwa material witness kwenye hii kesi hasa kwa upande wa mashtaka...at least angekuwa ameletwa na upande wa utetezi kidogo tungesema Lulu yupo katika harakati za kuibua shaka katika kesi hii as far as the cause of death is concerned.
Soma vizuri, huyu ni defence witness
 
Hii case imeenda ndivyo sivyo,mistrial,

yaani hadi upande wa mashitaka umemaliza kujitetea hakuna ripoti ya doctor aliempasua na kuona nini kimeua huyu mtu?,

anaweza kuwa alicollapse baada ya kutoa mapovu mengi ,akapata heart attack akafa
 
Kumbe huyu mama ni mtoa Sumu??

Kumbe ndo maana padre wetu kapotea njia....

284885
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmh watu mna maneno, eti mtoa sumu

Mi nataka kujua unajuaje sumu ya mtu kwa kuongea nae tu ushahidi haujasema kama alimpima mmmh
 
Huo ushahidi wa huyu mama unalenga kucreat doubt na kuforce upande wa mashitaka kuja na clear explanation how did Kanumba died,if was killed how and with what weapon.

Lakini ajabu tayari wanaongea kuhusu hukumu wakati kesi haijasikilizwa ipasavyo,
wanakimbizana na ratiba badala ya kuhakikisha haki inatendeka
 
bila ya jeshi letu la polisi kuwa na kitengo cha foresinc chenye utaalamu,tutaishia kwenye vichekesho kama hivi ambavyo hatima yake mshitakiwa kuwa huru au kupelekwa jela kimakosa,elewa kulipotokea tukio hili ni wawili tu ndio walikuwemo na mmoja wao amefariki means hatuna eye witness kwenye hii kesi,sasa hapa wataalamu wa foresinc ndio wangetoa picha kamili nini kilijiri usiku ule,je mwili wa Kanumba ulionyesha dalili ya kupewa sumu?je alianguka vipi na alivyoanguka aliumia,kuna uvimbe wowote kwenye mwili wake,any weapon(s) ambayo inaweza kuwa ilitumika katika ugomvi ule?,picha za mwili wa kanumba katika crime scene zinaonekanaje?kama alisukumwa je Lulu alikuwa amesimama umbali gani kutoka kwa Kanumba,?je nguvu iliyotumika kumsukuma inaweza ndio imepelekea kifo chake?na nguvu hiyo mtuhumiwa anayo?je crime scene ilionyesha kuwa kulikuwa na ugomvi kati yao etc etc tungepata majibu haya yangesaidia jaji kuamua na mengine mengi tu.
 
HATA KAMA KWELI NDIYO, LAKIN KANUMBA ALIKUFA KTK MAZINGIRA YA UGOMVI NA SYO SUMU..

MI NAONA HUU UTETEZ HAUNA MAANA, NI SAWA NA MTU ALIKUWA NA MALARIA KALI UKAMPGA AKAFA, UKASEMA AMEKUFA KWA UGONJWA WA MALARIA, NAN ATAKUELEWA?
 
Hii kesi imefika mwisho hii iishe basi tusikie na mengine
 
Tuangalie watu tunawaachia watoto wetu wa kike. Jamaa alitakiwa ashitakiwe yeye kwa kumfundisha huyo mtoto mambo ya kikubwa mapema.[emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom