Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Majaji wana mashaka ila wakili wa serikali hajapambana hata kidogo kuupinga huu ushahidi wa kipuuzi.Nitashangazwa sana mahakama kukubali ushahidi huu wa kijinga....hivi mke wa Slaa alikuwa Dr wa hospitali gani? na alimchukua vipimo Kanumba?
Umeona eeeh,eti Dr,ziko wapi evidences kuwa kweli Kanumba alitibiwa huko.Huu ushahidi wa upo empty kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mahakama ya majuha tu ndiyo itakubali ushahidi wa Mke wa Slaa anayejiita dokta.
Pia wakili wa serikali anajikosesha hii kesi kwa makusudi kwa kukubali ushahidi wa kipuuzi kama huu ambao utaweka precedent ya kipumbavu ambayo haijawahi kutokea tangu dunia iumbwe.
Jaji kaona wakili wa serikali ameparalaizi ubongo imebidi amsaidie kuuliza maswali.Heheheheeeee....kwenye hii kesi jaji ndo kageuka wakili .
Jaji kaona wakili wa serikali ameparalaizi ubongo imebidi amsaidie kuuliza maswali.
Usihukumu maana na wewe utahukumiwa, huna ushahidi ya uyasemayo.Lulu alimsukuma akatae akubali ,,ukweli tena ukute kalimpiga na kitu kichwani hako ,,we alivyokufa kanumba ,akafa komba,akafa seth tena siku ya birthday yake lulu
Papuchiok .basi hapo lulu anaweza kupona. anatumia mitishamba au tunguli?
Toa hoja acha majunguAlishindwa kutoa ya kwake usoni USO kama batiki ndio atoe ya watu wengine
Mnato babuRIP Kanumba..lakini ilikuaje ukawa unakibaka kitoto kidogo hivi jomoni...
Chuki, wivu na roho mbaya tuLulu alimsukuma akatae akubali ,,ukweli tena ukute kalimpiga na kitu kichwani hako ,,we alivyokufa kanumba ,akafa komba,akafa seth tena siku ya birthday yake lulu
Lengo la swali au kwa maneno mengineWakuu.
Aina ya mawakili wa serikali ndio maana hua hata serikali inashindwa kesi, kesi ya mauaji wakili anauliza eti taulo haikudondoka wakati unakimbizwa na kanumba? Sasa akishajua ilidondoka au haikudondoka alitaka kufanyeje labda?
Kuna mdau kasema jamaa alikuà ana "tumia " hilo embe kipindi likiwà bichiWadau, hivi huyu 'Dr' Cheni, mbona yeye ndiye anaonekana anaumizwa sana na maswahibu ya haka katoto!?