Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

Kesi ya Lulu: Mke wa Dr. Slaa asema Kanumba alikuwa na sumu mwilini, upungufu wa hewa na maumivu kwenye ubongo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mahakama ya majuha tu ndiyo itakubali ushahidi wa Mke wa Slaa anayejiita dokta.

Pia wakili wa serikali anajikosesha hii kesi kwa makusudi kwa kukubali ushahidi wa kipuuzi kama huu ambao utaweka precedent ya kipumbavu ambayo haijawahi kutokea tangu dunia iumbwe.
Umeona eeeh,eti Dr,ziko wapi evidences kuwa kweli Kanumba alitibiwa huko.Huu ushahidi wa upo empty kabisa.
 
Lulu alimsukuma akatae akubali ,,ukweli tena ukute kalimpiga na kitu kichwani hako ,,we alivyokufa kanumba ,akafa komba,akafa seth tena siku ya birthday yake lulu
Usihukumu maana na wewe utahukumiwa, huna ushahidi ya uyasemayo.
 
Huyu ni wakupiga maswali mpaka kieleweke. Amesomea udaktari na je amespecialise kwa Nini??? Maana maelezo yake hayaridhishi kabisa.
 
Nilikuwa sijui kama mchumba wa Dr katibu mkuu mstaafu naye ni doctor.
 
Wakuu.
Aina ya mawakili wa serikali ndio maana hua hata serikali inashindwa kesi, kesi ya mauaji wakili anauliza eti taulo haikudondoka wakati unakimbizwa na kanumba? Sasa akishajua ilidondoka au haikudondoka alitaka kufanyeje labda?
Lengo la swali au kwa maneno mengine
Je Ni kweli ulikimbizwa!!??
Iliwezekana vipi taulo halikuanguka!!??

Lengo kuu la cross examination ni kushake/discredit ushahidi uliokwisha tolewa
Kuna maswali ya ajabu zaidi ya hayo
 
Back
Top Bottom