Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Bwanaako anafanya kazi mahakama kuu nn kakumegea hukumu
...
IMG_20210430_035446.jpg
 
Mbona umeandika Kwa CHUKI.
Lengo Lao lilikuwa Zanzibar huru
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k

Magaidi Matupu.
 
Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile
We mwanamke teremsha hilo hijabu uiname kutawadha kisha utumie akili kufikiri, yaelekea hujui hata ugaidi ni nini....unachojua ni matusi tu kama ya Mwamedi wa mecca aliyomfunza mtoto Aysha
 
Hii Nchi ina Watu wa ajabu sana.

Tunapopata matatizo ya kiusalama watatoka Watu na kuanza kuitupia lawama za kila aina serikali...refer matatizo ya kule Kibiti.

Serikali ikifanya inachofanya kupata utulivu Wanajitokeza tena Watu na kusema Serikali haifanyi sawa na inaonea Watu.

Sijui wao huwa wanataka Serikali ifanye nini, wao ni kulalamika tu na kamwe hawana ushauri mbadala.

Tuache kuingiza suala la kidini kwenye mambo nyeti. kuna wafuata mkumbo wengi wakisikia wanaotajwa wanahusiana na dini yao basi nao watakaa upande wao na kuanza kuipigia kelele serikali.

Inapaswa kukumbuka kuwa hatua zinazochukuliwa ndio zinazozima matishio yote ya amani. Serikali ikikaa pembeni na kuchekacheka hayo yanayotokea kule Msumbiji yangekuwa yanaendelea Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara n.k.

Hata yale yanayoendelea Nigeria, Mali n.k si kwamba yameanzishwa na Malaika kutoka sayari ya mbali, ni Wananchi Wenzao hao hao waliokuwa waumini na Viongozi wanaoaminiwa na Wananchi wenzao.

Serikali isifundishwe kazi, ali mradi wanachofanya kinaleta mrejesho chanya 'kazi na iendelee'.

Ni Wananchi hawahawa kukichafuka wanawageuka tena na kuanza kuisema serikali imezembea.

Tushikamane bila kujali imani zetu, maana kukichafuka tusidhani kwamba ni mara zote watachagua nani ni mfuasi wa dini gani....kule Nigeria waathirika wengi ni wa imani hiyohiyo ya hao Waovu Wanaojidai kwamba wanaipigania.
 
We mwanamke teremsha hilo hijabu uiname kutawadha kisha utumie akili kufikiri, yaelekea hujui hata ugaidi ni nini....unachojua ni matusi tu kama ya Mwamedi wa mecca aliyomfunza mtoto Aysha
kumbe humu mpaka vichaa ambao mlitakiwa muwe milembe, mpo humu
 
Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Inaonekana Hilo ni Kosa kubwa kuliko kutishia Amani ya nchi,

ukisababisha mateso kwa wenzio alafu ukataka wewe utendewe haki huo nao ni sehemu ya ujinga ambao uliwafikisha hapo walipo
 
Hii Nchi ina Watu wa ajabu sana.

Tunapopata matatizo ya kiusalama watatoka Watu na kuanza kuitupia lawama za kila aina serikali...refer matatizo Kibiti.

Serikali ikifanya inachofanya kupata utulivu Wanajitokeza tena Watu na kusema Serikali haifanyi sawa na inaonea Watu.

Sijui wao huwa wanataka Serikali ifanye nini, wao ni kulalamika tu na kamwe hawana ushauri mbadala.

Tuache kuingiza suala la kidini kwenye mambo nyeti. kuna wafuata mkumbo wengi wakisikia wanaotajwa wanahusiana na dini yao basi nao watakaa upande wao na kuanza kuipigia kelele serikali.

Inapaswa kukumbuka kuwa hatua zinazochukuliwa ndio zinazozima matishio yote ya amani. Serikali ikikaa pembeni na kuchekacheka hayo yanayotokea kule Msumbiji yangekuwa yanaendelea Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara n.k.

Hata yale yanayoendelea Nigeria, Mali n.k si kwamba yameanzishwa na Malaika kutoka sayari ya mbali, ni Wananchi Wenzao hao hao waliokuwa waumini na Viongozi wanaoaminiwa na Wananchi wenzao.

Serikali isifundishwe kazi, ali mradi wanachofanya kinaleta mrejesho chanya 'kazi na iendelee'.

Ni Wananchi hawahawa kukichafuka wanawageuka tena na kuanza kuisema serikali imezembea.

Tushikamane bila kujali imani zetu, maana kukichafuka tusidhani kwamba ni mara zote watachagua nani ni mfuasi wa dini gani....kule Nigeria waathirika wengi ni wa imani hiyohiyo ya hao Waovu Wanaojidai kwamba wanaipigania.
Unajua basis ya huu Ugaidi wanaoufanya?
images%20(93).jpg
 
Hakuna sheikh aliehamisha fujo.
hizo fujo nyuma ya pazia vikosi vya ulinzi na usalama huko Zanzibar vilikuwa vinahusika ili kutisha watu
Kwani Zanzibar huru inapatikana kwa kuchochea watu wafanye uharifu, huo nao ni ujinga uliowafikisha hapo walipo
 
Hawa ni MAGAIDI

kwasababu:-

•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji

•Waliuwa Watalii watatu Mombasa

•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar

•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi

•Walipishana mpaka na Waislam wenzao

•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu

Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.

Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k

Magaidi Matupu.

Aisee. Makosa mazito haya. Sasa miaka yote hiyo serikali (DPP) imeshindwa kuwasilisha ushahidi wa makosa haya mahakamani ili shauri limalizike na hukumu stahiki itolewe?

Tunapojivunia utawala wa sheria basi ni muhimu kumaliza mambo kwa vitabu na taasisi tulizojiwekea. Sasa hivi kila mtu atasema chake. Na, kwa bahati mbaya sana, serikali na hasa taasisi zetu za usalama wa raia haziaminiki [emoji817]. Rejea Zombe et al, Mwangosi, Akwilina, Lissu, n.k.

Hata Lwakatare wa CHADEMA aliwahi kuitwa gaidi na kiongozi wa serikali.
 
Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile
Wale wa kibiti wa "hapa chuma tu" walikuwa wanahubiri kilimo Cha mbaazi?
 
Back
Top Bottom