Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Hawa ni magaidi wasitolewe huko kabisa! Ni watu hatari kwa muungano!.Hakuna Rais yupo tayari Tanzania imfie mikononi MWAKE! Hao kutoka huko sio Leo wala kesho!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hawa Maamuma wanaujua ukweli wa Magaidi wenzao hapa wanajishaua tuUjue haya mambo ya masheikh wengi hatujui makosa yao, sasa kama sio hayo kwanini usimwage ukweli tupate elimu....
We mwanamke teremsha hilo hijabu uiname kutawadha kisha utumie akili kufikiri, yaelekea hujui hata ugaidi ni nini....unachojua ni matusi tu kama ya Mwamedi wa mecca aliyomfunza mtoto AyshaTanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile
Hii Nchi ina Watu wa ajabu sana.Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Kwani Uislam uliopo Zanzibar unaminya Uhuru upi?Mbona umeandika Kwa CHUKI.
Lengo Lao lilikuwa Zanzibar huru
kumbe humu mpaka vichaa ambao mlitakiwa muwe milembe, mpo humuWe mwanamke teremsha hilo hijabu uiname kutawadha kisha utumie akili kufikiri, yaelekea hujui hata ugaidi ni nini....unachojua ni matusi tu kama ya Mwamedi wa mecca aliyomfunza mtoto Aysha
Inaonekana Hilo ni Kosa kubwa kuliko kutishia Amani ya nchi,Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Kwani Uislam uliopo Zanzibar unaminya Uhuru upi?
Hakuna Amani Zanzibar? Tangu wafungwe hao umesikia matukio ya watu kumwagiwa tindikali au kuuawa hovyo?
Angalia alivyoanza huyo kwenye mada zingine hukoMtu mmoja kakutukana unatukana jamii nzima ya waislamu.
Kwani Zanzibar huru inapatikana kwa kuchochea watu wafanye uharifu, huo nao ni ujinga uliowafikisha hapo walipoMbona umeandika Kwa CHUKI.
Lengo Lao lilikuwa Zanzibar huru
Unajua basis ya huu Ugaidi wanaoufanya?Hii Nchi ina Watu wa ajabu sana.
Tunapopata matatizo ya kiusalama watatoka Watu na kuanza kuitupia lawama za kila aina serikali...refer matatizo Kibiti.
Serikali ikifanya inachofanya kupata utulivu Wanajitokeza tena Watu na kusema Serikali haifanyi sawa na inaonea Watu.
Sijui wao huwa wanataka Serikali ifanye nini, wao ni kulalamika tu na kamwe hawana ushauri mbadala.
Tuache kuingiza suala la kidini kwenye mambo nyeti. kuna wafuata mkumbo wengi wakisikia wanaotajwa wanahusiana na dini yao basi nao watakaa upande wao na kuanza kuipigia kelele serikali.
Inapaswa kukumbuka kuwa hatua zinazochukuliwa ndio zinazozima matishio yote ya amani. Serikali ikikaa pembeni na kuchekacheka hayo yanayotokea kule Msumbiji yangekuwa yanaendelea Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara n.k.
Hata yale yanayoendelea Nigeria, Mali n.k si kwamba yameanzishwa na Malaika kutoka sayari ya mbali, ni Wananchi Wenzao hao hao waliokuwa waumini na Viongozi wanaoaminiwa na Wananchi wenzao.
Serikali isifundishwe kazi, ali mradi wanachofanya kinaleta mrejesho chanya 'kazi na iendelee'.
Ni Wananchi hawahawa kukichafuka wanawageuka tena na kuanza kuisema serikali imezembea.
Tushikamane bila kujali imani zetu, maana kukichafuka tusidhani kwamba ni mara zote watachagua nani ni mfuasi wa dini gani....kule Nigeria waathirika wengi ni wa imani hiyohiyo ya hao Waovu Wanaojidai kwamba wanaipigania.
Kwani Zanzibar huru inapatikana kwa kuchochea watu wafanye uharifu, huo nao ni ujinga uliowafikisha hapo walipo
Kumbe ndio sifa ya uislam.Sho.ga wewe. Ni wakupuuzwa, wangejua humu me mwenyewe nishakula zigo ilo
Eeeeeeeh wewe, adabu za wapi hizo?! Mama yake ameingia vipi hapa katika majadiliano yenu?!mama yako ndio gaidi mkubwa sana . katoa mimba nilizo mpa zipatazo sita.
si uende mahakamani ukatoe ushahidiNdio Mkuu, Hawa ni maadui wa Tz, Kenya na Somalia pia. Kote huko wana historia ya matukio mabaya sana
Hawa ni MAGAIDI
kwasababu:-
•Waliwamwagia Watalii tindikali huko Zenji
•Waliuwa Watalii watatu Mombasa
•Walimmwagia Padri tindikali kule Zanzibar
•Wanataka kusimamisha dola inayopingana na BAKWATA na BALUKTA, Dola ya kiislam chinja chinja itakayoua makafiri endapo hawatasilimu, dola itakayoleta Mahakama ya kadhi
•Walipishana mpaka na Waislam wenzao
•Wanajifanya wanapigana jihad kumbe Jihad Ugoro, jihad ya sasa ni ya Nafsi tu
Wasiachiwe Hawa ni hatari kwa Amani ya nchi yetu.
Amani ikipotea sio kazi rahisi kuirudisha, wasianzishe vikundi vya kigaidi kama huko Malawi, Somalia n.k
Magaidi Matupu.
Wale wa kibiti wa "hapa chuma tu" walikuwa wanahubiri kilimo Cha mbaazi?Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile