Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

si uende mahakamani ukatoe ushahidi

shipa limekutoka kwelikweli

soon mashekh wetu tutawapokea mtaani
Warudi tu lakini mkiendelea na ugaidi wenu mtakiona
 
Inasemekana wanataka kushinikiza hukumu ifanyike kisha wamwambie mama awasamehe!

Hivi raisi anaruhusiwa kusamehe makosa ya aina zote ? Au ni kwa baadhi tu?.
 
Walio magerezani ambao hukumu hazijafanyika ni wengi sana,
Kwanini msiongelee hii iwe hoja ya jumla kuhusisha na watu wengine?
Kwanini mnaongelea hao mashekhe tu?
Je wengine wao hawastahili hukumu?

Huenda kuna viashiria na harufu ya udini kwenye hili.

Namshauri mama awe makini zaidi.
 
Wale wa kibiti wa "hapa chuma tu" walikuwa wanahubiri kilimo Cha mbaazi?
Wale wa kibiti walikuwa wahuni wachache waliovimbirwa marage, kilichowapata nenda kibiti kawaulize watakuadisia, walikuwa hawajavuka levo za ugaidi ,
 
Una ushahidi wowote ndugu?
Je ulikuwepo walipomwagiwa?
 
Mbona hii kesi sasahivi inaenda mbiombio sana..!!!
 
Tuienzi na kuitunza amani ya Taifa letu.

Tusiruhusu viashiria vyovyote vya machafuko.
 
Unaroho ngumu mkuu, Mungu angekuwa hasamehi nani angesima mbele ya haki.
 
Eeeeeeeh wewe, adabu za wapi hizo?! Mama yake ameingia vipi hapa katika majadiliano yenu?!

Hebu muwe na mipaka ya adabu na heshima. Heshimu wazazi, heshima ni kitu muhimu sana.
mzazi ni kwako ila kwangu ni hawara tu.
 

Afadhali aise, Mungu asaidie watoke huko
 
Nyie endeleeni kutaka damu za watu huko Msumbiji na sisi tutaamua kujilinda wenyewe, sheikh gani anafundisha watu kuchinja?
 
una pumuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…