Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

Huyu Mama Samia ndo anawatuma kufungua kesi dhidi ya waliokuwa wateule wa JPM nini? Mbona sielewi elewi?
Mama Hana shida na wateule wa JPM,tusimvishe tuhuma za bure,Ila tambua utawala wa sheria Ni muhimu Sana,natamani wale viongizi waliokuwa wanajichukulia mamlaka ya kucharaza raia bakora wachukuliwe hatua pia,huo ndo utawala wa sheria.

Makonda Kama ana hatia au laaah,mahakama itaaamua,
 
Wewe nyundo2017 ni mke wa Makonda? Kwani wewe ni mgeni na uovu wa huyu hayawani?
Nafikiri ni zaidi ya hayawani.
Kwenye ile communique ya US State Department alituhumiwa kudhulumu haki ya watu kuishi. Halafu leo watu wanajifanya kujisahaulisha.
Tunaishi kwenye jamii ya hovyo sana.
 
Mkuu, kwa sie tuliomfahamu akiwa hajabalehe, maneno yako si sahihi. Alikuwa ni Nsukuma Getegete na alipambania usukuma tangu awali. Naomba niishie hapo.
Kumbe kuna watu mliwafahamu wakiwa hawajabalehe!, jee wakija watu wakakutajia watu walikozaliwa, walizaliwa wapi, waliingia nchini mwaka gani, walipoingia walifikia wapi?, na walitumia majina gani kabla!.
Tafute Mkuu britanicca in box, mwambie akuelezee kuhusu Blaza.

Kuna watu wana info, ila wame zi hold kwasababu hazina maslahi kwa taifa.
P
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Vipi kuhusu kesi ya Mbowe mkuu,Naamini utakuwa umesikiliza mashahidi wote ingawa ata bila kuwasikia lazima ungeweza tu kutoa maoni yako
 
Kumbe kuna watu mliwafahamu wakiwa hawajabalehe!, jee wakija watu wakakutajia watu walikozaliwa, walizaliwa wapi, waliingia nchini mwaka gani, walipoingia walifikia wapi?, na walitumia majina gani kabla!.
Tafute Mkuu britanicca in box, mwambie akuelezee kuhusu Blaza.

Kuna watu wana info, ila wame zi hold kwasababu hazina maslahi kwa taifa.
P
Naogopa kutoa ushuhuda hapa maana hata katekista ambaye alikuwa ni baba yake namjua kabla hajafariki. Mkuu huyo mhaya britanicca ni mwongo mkubwa kama alivyodanganya kuhusu Dr Shika. Nakuhakikishia alikuwa nsukuma pure, mengine ngonjera. Tunajuana kabla hajamaliza la Saba ujue
 
Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka .

Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa niaba ya watu wote , inatajwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni .

Bado hatujafahamu kama Mtuhumiwa huyo ataletwa akiwa na Pingu mkononi au la .

Usikae mbali .

View attachment 2031229

=======

Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Kubenea amesema kesi hiyo imeondolewa na itawasilishwa tena wiki ijayo baada ya kufanyiwa Marekebisho mazito kwenye maeneo fulani ili kukidhi vigezo vya kisheria .
Hizo roho za visasi mnazozishobokea zitawatokea puani.

Huyo aliyeko madarakani akitoka ndio atakuwa kiongozi wa kwanza mkuu wa mhimili kunyang'anywa kinga na kushitakiwa pamoja na ninyi washirika. Weka posti hii kwa rejea. Dhuluma haikomeshwi kwa visasi..............kulia na kusaga meno kwaja kwa upesi sana
 
Kama hauna kosa Mahakama si itakuachia tu mkuu , hofu iko wapi sasa ?
 
Kama hauna kosa Mahakama si itakuachia tu mkuu , hofu iko wapi sasa ?
Unajiharibia bure kutokana na bidii yako iliyotukuka kwa mambo yamsingi kujichomeka kwenye kesi zenye sura ya visasi kwa kudhibiti waouvu walioshindikana huku mkijitanabaisha kutafuta haki dhidi ya matendo ya jinai.

Mshitaki mmoja lakini baada ya hapo jiandae na wewe.................serikali ina visasi dhidi ya viongozi wa awamu iliyotangulia...............wapinzamni nao wana visasi dhidi ya viongozi wa awamu iliyotangulia.

Waliofanyiwa visasi, jamaa, rafiki na watu wengine wataamua kuangusha nguzo iliyoshikilia hema wakati wote ninyi wote mko ndani... nani atasalimika?

Kila siku visasi....visasi....visasi.....mwisho wa siku uvumilivu wa Hamza utaisha!!!!!
 
Naogopa kutoa ushuhuda hapa maana hata katekista ambaye alikuwa ni baba yake namjua kabla hajafariki. Mkuu huyo mhaya britanicca ni mwongo mkubwa kama alivyodanganya kuhusu Dr Shika. Nakuhakikishia alikuwa nsukuma pure, mengine ngonjera. Tunajuana kabla hajamaliza la Saba ujue
Maadam umemjulia shule, inamaana umemjua baada ya kuja Tanzania na kupewa jina la Kitanzania. Kwa heshima yake na mazuri aliyolitendea taifa hili, naomba nisiendelee na hii topic, ila nilishauri for future, ili kuzuia same case scenario isijirudie...
P
 
Ni sawa kabisa kama inavyotakiwa gaidi afungwe
Ndio vizuri maana yuko mahakamani, nenda katoe ushahidi maana wenzio wanaoongea ukhanithi tu mpaka saa hivi.
 
03 December 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu,
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania .

KESI YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA DHIDI YA PAUL C. MAKONDA, YASUKWA UPYA ILI IREJESHWE TENA MAHAKAMANI

Wakili kwa niaba ya Saed Kubenea, aliyemfungulia kesi Makonda afunguka, asema wanakuja na kesi nyingine nzito zaidi

Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Mzee ndoto za uteuzi bado zinakusumbua?

Tulia na taaluna yako.
 
Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Spot on

Raia Mwema nao wapuuzi sana. Wiki mbili mfulululizo wanaandika utumbo tu. Heading kuuuubwa ila content haina la maana. Sijui nini kimewapata hawa watu
 
Spot on

Raia Mwema nao wapuuzi sana. Wiki mbili mfulululizo wanaandika utumbo tu. Heading kuuuubwa ila content haina la maana. Sijui nini kimewapata hawa watu
It's a shame kwa gazeti linaloongozwa na a renowned lawyer, Jenerali Ulimwengu!.
Na members humu walivyo viazi, ukiwaambia pale hakuna kitu, hawakuelewi!.
P
 
Jamhuri haina interest na kumshtaki Makonda kwa sababu wanazozijua wao. Wangetaka, angekipata anachopitia Sabaya

Hakuna kesi hapa na akina Kubenea wanalifahamu hili.
 
Back
Top Bottom