digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mama Hana shida na wateule wa JPM,tusimvishe tuhuma za bure,Ila tambua utawala wa sheria Ni muhimu Sana,natamani wale viongizi waliokuwa wanajichukulia mamlaka ya kucharaza raia bakora wachukuliwe hatua pia,huo ndo utawala wa sheria.Huyu Mama Samia ndo anawatuma kufungua kesi dhidi ya waliokuwa wateule wa JPM nini? Mbona sielewi elewi?
Makonda Kama ana hatia au laaah,mahakama itaaamua,