KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

hii kesi Lulu akizumbaa anakwenda ndani,kwa ushahidi wa Mdg wake kanumba na yule Dr,sidhani kama utamuacha salama
 
Hao ni viumbe na waliumbwa ili tuwale sisi binadamu, tumeamrishwa kula wanyama, matunda na mimea. Na ndio maana kuna siku ya hukumu hiyo iko maalum kwa ajili ya viumbe kama binadamu lakini sio kwa viumbe kama hao kuku, mbuzi wala ng'ombe
Mkuu hii iko kiimani zaidi.Tunataka haki ya Ki Hamurabi,jino kwa jino,jicho kwa jicho,malipo ni hapa hapa duniani.
 
Nikiwa coco beach,meseji zilianza kusambaa zikiniuliza kwamba kanumba kafa......zilisambaaje? Ulijuaje kwamba meseji zinasambaa?
 
Gari aliendesha mwenyewe, kuwa na leseni au kutokua nayo sio shtaka linalomkabili
Ameshaulizwa kama alikua na lesseni amejibu kua ndio alikua nayo, swali aliulizwa na Jaji Rumanyika sasa swala linakuja alipata vipi lesseni before 18
 
Huko coco hakukuwa na kitu nilienda tu kutuliza akili..........Kulikuwa na swali la kilichokuwa coco beach?..........mtoto wa kike usiku wa manane unaenda coco beach mwenyewe kutuliza akili? ..........Kidume, kidume,kidume ndugu yangu.....semeni ukweli wa kilichomuua mjomba wangu na mwanafunzi wangu Kanumba.
 
There's so much to dig deep...

Hayo maelezo yake ya sijui alipigiwa simu hakupokea, mara SMS etc vyote hivyo kwa mawakili wazuri wa serikali wanapaswa wavifuatilie katika kampuni za simu husika maana ni sehemu ya ushahidi...

Anasema aliendesha gari, je alikuwa na umri sahihi wa kuhold driving license(if not hii ni kesi nyingine)...
 
Hivi mtu unayempenda unaku.tia kila siku kaanguka ghafla ndugu yake anasema namtafuta Dr aje ww unaweza kweli ukaenda coco kula upepo. Huyu dogo ahojiwe vzuri.
Alikuambia kama anampenda.
 
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Ishakuwa traffic case tena.
kesi juu ya kesi.
 
Wakati kanumba anaanguka alikuwa chooni alijuaje kuwa ameanguka mwenyewe? Alijuaje amejigonga kwa nguvu? Wakati yupo chooni na anapiga kelele?
 
Nni anatuhakishishia Kanumba alikuwa kalewa jamani!
 
Halafu mimtu inasema alikuwa na akili za kitoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…